Tetesi kwenye mitandao

Gilbert Gennes

New Member
Mar 4, 2017
4
5
TAHADHARI!
Jihadhari usinywe dawa aina ya 'paracetamol' iliyoingia imeandikwa P/500. Ni dawa mpya, nyeupe sana na ni dawa inayong'aa sana: madaktari wanasema kwamba dawa hii ina virusi viitwavyo "Machupo" ambavyo vinaaminika kuwa ni virusi hatari kuliko vyote duniani vinavyoua kwa kasi kubwa. Tafadhali, tuma ujumbe huu kwa watu wote pamoja na familia yako kuokoa maisha.... Nimefanya sehemu yangu na sasa ni zamu yako.... Kumbuka Mungu anawasaidia wale wanaosaidia wenzao na wao wenyewe!
Tuma ujumbe huu kama ulivyo!
 
Mbona ni hatari
 
TFDA walishatolea ufafanuzi hiyo dawa! Haijawahi sajiliwa hapa Tz
 
Hii habari TFDA walishaitolea ufafanuzi.hizi panadol hazijasajiriwa kutumika bongo.
Ova.
 
So Gilbert inamaanisha hao wametengeneza sumu than wakakosea wakaandika Paracetamol au vipi? Au wamefanya makusudi kutupunguza ili uchaguzi ukifika 2020 tuwe wachache kwenye election?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom