STI mkuu, thibitisha tu kwa kupima, upate tiba.Huwa ninatokwa na usaa kwenye uume na kusikia maumivu wakati wa kukojoa.
Naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone?
Ohoooooo!!!Mkuu gono hilo kuna jamaa aliwahi sema humu tafuta bwana mifugo akudunge sindano unapona siku moja tu
Sahihi kabisa mkuu.Usisahau kwenda na huyo aliyekuambukiza
Kweli ndugu inatibu?Juice ya pilipili changanya na diazone inatibu
Wahi hospitali wewe....!Kweli ndugu inatibu?
Mkuu gono hilo kuna jamaa aliwahi sema humu tafuta bwana mifugo akudunge sindano unapona siku moja tu
Hospitali nimeenda nimepima Nikakuta ni Gono Niko kwenye dozi ya sindanoWahi hospitali wewe....!
Mkuu aliekuambukiza umemwambia aende hospital akapate matibabu?Hospitali nimeenda nimepima Nikakuta ni Gono Niko kwenye dozi ya sindano