Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

kama namuona vile Museveni na Kagame wanavyojipendekeza kwa wanajeshi kuanzia sasa !
hawa wajeshi wanatakuwa kuwa wenza hatar kwa watawala titashuhudia mishahara ya wanajeshi ikipinda pande hizi za afrika
 
AU = AU
Wapi umoja feki wa Afrika ,umoja feki wa sadec Wote kimya,Gaddafi alisema yanatokea kwangu Leo na UA uko kimya yatatokea na kwa mwingine,sasa yanayompata Mugabe na UA uko kimya na marais wengine wajiandae
 
kama namuona vile Museveni na Kagame wanavyojipendekeza kwa wanajeshi kuanzia sasa !
hawa wajeshi wanatakuwa kuwa wenza hatar kwa watawala titashuhudia mishahara ya wanajeshi ikipinda pande hizi za afrika
Sijui kama Mseven atabadilisha tena katiba atawale hata akiwa na zaidi ya miaka 75 kama alivyopanga awali.
 
Back
Top Bottom