Recent content by IbnBattuta

  1. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

    Subaru ni tamh sana ile gari, niko na Forester 2010 sijawahi kujuta kuwa nayo
  3. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Wew mzee una shida sana... Seriously!
  4. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Sumsung galaxy note 8 ni fire

    Mkuu watu wako Note 20 ultra huko wewe unaongelea Note 8 leo hii?
  5. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake?

    Ni jambo la kawaida kuota ndoto za shule kwasababu ni kipindi ambacho umetumia muda mrefu wakati unakua na ni kipindi ambacho Ubongo wako ulikuwa unajifunza vitu vingi sana. Binafsi sidhani kama ni tatizo, hizo imani za kiroho kama wanazosema watu wengine ni masuala ya kiimani na kila mtu ana...
  6. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda Jinsi TCRA ya India Inavyofanya Kazi ya Tanzania ijifunze hapa

    TRAI - Telecom Regulatory Authority of India
  7. IbnBattuta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

    Mwanaume unajisifia kukagua simu ya mke wako? Utakuwa hauko sawa mkuu.
  8. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ACSEE 2008

    Marhabaaaa
  9. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ACSEE 2008

    Sanaaaaa
  10. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ACSEE 2008

    Mkuu uko serious kweli? Mtihani wa 2007 ulikuwa na ugumu gani ule? Mimi nlifanya 2008 lakin ungenipa wa 2007 na hakika marks zisingepishana
  11. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Mamlaka tazameni barabara ya Banana - Kitunda ili iweze kuwa msaada na si kero kwa wananchi

    Wakuu Salaam, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Barabara tajwa hapo juu amekuwa mwiba mkubwa sana kwa usafiri kwa wakazi wa Ukonga maeneo yanayozunguka Kitunda. Barabara ina hali mbaya sana na inachangia kwa kiasi kikubwa sana kuharibu vyombo vya usafiri vya wakazi wa maeneo hayo...
  12. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Unauhakika wakati hata hunijui, nonsense!
  13. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Dogo kakurupuka hata history ya Crimea na hayo majimbo ya Donbass haijui
  14. IbnBattuta

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Nlijua umeandika kitu cha maana unatupotezea muda tu
  15. IbnBattuta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Back
Top Bottom