Recent content by Ibanez

  1. I

    Magufuri Kukabidhiwa Mwai Kibaki Rd 31 May, Je ameridhika na Kiwango?

    Cha ajabu nimesikia waziri leo akisema awamu ya tatu ya mabasi yaendayo kasi kwa dar yataihusu barabara hiyo!kwa hiyo wakazi wa huko jiandaeni tena kwa adha nyingine ya foleni..maana yaonyesha itabomolewa tena!!
  2. I

    Uonezi katika Hoja ya Mh. Mkosamali leo Bungeni

    Ndio hivyo kazimishwa pale tena hata wa ccm walionekana kumuunga mkono mkosamali kua waziri atoe maelezo ya kutosha tarehe za kuanza kila mradi wa ujenzi wa barabara
  3. I

    Mbele ya CCM Elimu yako si Kitu......pia mbele ya CCM mjinga anakuwa professor!!!

    Uko right mkuu..Warioba nae eti -------- ..wanasahau wamemteua wao!
  4. I

    Ujinga, Umaskini na Maradhi ni mtaji mkuu wa wanasiasa wa Tanzania

    Kweli ni Ujinga+Woga=Ushindi wa CCM
  5. I

    Waziri Magufuli amelidanganya Bunge

    Mbunge wa huko ni mahanga
  6. I

    Nafundisha muziki kwa nadharia na vitendo

    Napenda kujifunza piano na sax guitar hilo kwangu halina taabu.ntakutafuta.
  7. I

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne Tarehe 20 Mei 2014, Mkutano wa 15 Kikao cha 13, Bunge la Bajeti

    Ni saa 4.00 asubuhi hii tbc wamekata matangazo na kuweka burudani ya nyimbo hadi itakappfika saa 5:10 kisha kitafuata kipindi cha Mapishi! walikua wakirusha kipindi cha bunge live wengi tukifuatilia,sasa tatizo ni nini?kipi bora kati ya hizi nyimbo na bunge?wananchi hasa sehemu ambazo bado...
  8. I

    Foleni barabaran kwa mkoa wa Dar es salaam ni janga kubwa lililoshindikana

    Serikali haijawa serious kumaliza tatizo...wenzetu kenya walianzisha wizara ya mji wa nairobi..walifanikiwa sana
  9. I

    Unaikumbuka Urafiki Jazz Band?

    Story nzuri sana njaribu kui share fb kama nikiweza..imetulia sana
  10. I

    Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

    Hii tv bado hawana vipindi vya maana na si wao tu hata radio...kidogo ktk tv ni kile cha sports ...wameegemea zaidi ktk matangazo kuliko kupasha habari!!
  11. I

    ITV na isidingo the need???

    Tvs zetu nyingi mchokoooo!ndio maana ukitaka habari za kinaza bongo inakubidi tune ZBBC swahili jioni!
  12. I

    TBC kwa nini mnapiga mziki tu usiku!

    Media zetu baaado sana si wao tu Dtv wao kutwa nzima usiku kucha ni bongo flava...udhaifu mkubwa kwa tvs station nyingi tu hapa kwetu hata redio!taarifa ya habari radio one habari za taifa dkka 3?wanashindwa hata na ki redio station kidogo cha WAPO FM jamaa wana ma reporter nchi nzima!hadi...
  13. I

    Spika Ana Makinda anachuki na wapinzani

    Mnyika alihoji swala la msingi kweli kuhusu umiliki wa Uda..akatolewa nje mwongozo wake..lkn imeonekana wazi shirika la Uda kuna utata pale,,na serikali ishajichanganya eti wanasema Uda tayari ipo chini ya umiliki wa halmashauri ya jiji pamoja na serikali...myika kauliza mbona bado Simon group...
  14. I

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Nina wasiwasi kama watapunguza msongamano kwanza baadhi ya njia wamefunga mfano hapo akiba..zitaingia bus zao tu!watu na ofisi zilizopo hapo kati mtaa wa libya/morogoro wataingia vipi na magari yao?njia za kasi ni ferry kwenda kimara mwisho na magomeni to morroco!vipi kuhusu kwengineko...
Back
Top Bottom