Mtumishi akimwombea muumini kwa kumkanyaga

Mtumishi akimwombea muumini kwa kumkanyaga

ukifikiria in deep unaweza ukasoma akili ya shetani kdg... ana njia nyingi sana ya kuua dini. hii ni mojawapo, unaweza ukaona ni kitu cha kawaida, au binadamu tu na mishe zao za kijinga ila hapo ndipo anapotarget.. anawatumia watu kama hawa kufanya maujinga mbalimbali afu mwisho wa siku anawa-expose mwenyewe, kwa mtu wa kawaida ataona dini imekua uzushi hata imani yake itakufa...

Una uwezo wa kuusoma akili ya shetwain???? khaa aisee wewe ni mkare!
 
Una uwezo wa kuusoma akili ya shetwain???? khaa aisee wewe ni mkare!

Mtanzania usiwe na very direct translations kiac hicho utanifanya nikuonee huruma bure! usiniambie inabidi nianze kukupa tuition ya neno "kusoma akili"... au we ni mbishi kama wabishi wengine kwenye comment section ambao hua wanatafuta comment yoyote ilimradi wabishe tu sijui ku-prove kwa nani kua ni wabishi..
 

Dunia hii ina vituko jamani!!. Ebu tazameni video hii ya mtumishi mmoja huko kwa Marehemu Mzee Madiba akimwombea huyu mama kwa kumrukia juu!!




Ngoja yakanyagwe kwanza huenda mabichwa yakapata akili ya kujua Yesu si Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mrembo wa watu si anaweza akavunjwa mbavu na nyonga
 
Rahis kudanganyika....waweza mwambia lete uchi bwana kasema nitahudumiwa na waumin na wewe ni zamu yako.Utapata mzigo!
Mh...kuna clip ya nigeria ilikua inaonesha hii mambo unazungumzia...tayari ilishatokea
 
Ukweli mtu anapoumwa huwa yuko tayari kwenda mahali popote ili aweze kupata jibu la mateso yake. Tunasikitika kuona watu wasiofaa wakijiingiza katika huduma za kumfanya mwenye kuhitaji aathirike na kuzalilika zaidi. Kuugua ni jambo ambalo kwa kweli si zuri ila tu kama mwanadamu hatuna jinsi -TUNAJIKUTA TU UGONJWA UMESHATUPATA.
 
Back
Top Bottom