Nipo hapa nikisikiliza hotuba ya Bajeti ya wizara ya Ujenzi inayosomwa na Waziri John Magufuli. katika hotuba yake ameliambia Bunge sasa hivi kuwa UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA TABATA DAMPO HADI KIGOGO UNAENDELEA.
Jamani mimi ni mtumiaji wa kila siku wa barabara hii ya Tabata Dampo Kigogo nikitokea Tabata Segerea kuelekea Mjini kwenye shughuli zangu. Mara ya mwisho nimepita leo hii jioni. ukweli ni kwamba WAZIRI AMELIDANGANYA BUNGE na hakuna hata dalili za kuwepo kwa ujenzi wa barabara ya lami zaidi ya kuharibika vibaya kwa barabara hiyo.
Nawaomba wabunge wa dar es salaam kusimama kidete kupinga uongo huu wa Magufuli ambao hauna faida kwa wananchi. Mnyika na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan tafadhalini hakikisheni mnamwambia ukweli Magufuli kuwa amewadanganya wananchi na taifa lote kwa ujumba.
Mbunge wa Segerea Dr.Makongoro Mahanga(Bila kuhoji Authenticity ya Ph.D yake hiyo) ameonyesha jinsi asivyokuwa Muwakilishi sahihi wa Jimbo la Segerea kwa kukaa kimya na kumuangalia Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli akidanganya kuhusu ujenzi wa barabara ya Tabata Dampo kuelekea Kigogo
Magufuli anasema ujenzi unaendelea wakati ukweli ni kuwa hakuna Ujenzi wowote unaoendelea na Barabara hiyo huwa ninaitumia
Waziri Magufuli aliyejijengea aura ya kuwa Waziri Mchapakazi mwenye uwezo wa kumeza na kutema Takwimu anadanganya bila aibu?
Je,katika Takwimu zote alizowahi kutoa ,tutaweza vipi kuziamini ?Inawezekana ameshadanganya sana kwa staili hii na ukizingatia Watanzania wengi sisi ni waoga wa Takwimu au Tarakimu
Mbunge wa Segerea amekaa kimya wakati uongo na upotoshaji huu ukiendelea
Ni matarajio yangu kuwa sasa Magufuli ataomba Radhi kwa Uongo huu ndani ya Bunge na kwa wananchi wa Jimbo la Segerea
Si vyema kuleta excuse kuwa waziri kadanganywa na wasaidizi wake.Maana kama this is the case basi credibility yake ipo mashakani na reliability ya Hoja na Takwimu zake anazotoa Bungeni ni ya kutiliwa mashaka
Aluta Continua,Victory Ascerta....!
Nipo hapa nikisikiliza hotuba ya Bajeti ya wizara ya Ujenzi inayosomwa na Waziri John Magufuli. katika hotuba yake ameliambia Bunge sasa hivi kuwa UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA TABATA DAMPO HADI KIGOGO UNAENDELEA.
Jamani mimi ni mtumiaji wa kila siku wa barabara hii ya Tabata Dampo Kigogo nikitokea Tabata Segerea kuelekea Mjini kwenye shughuli zangu. Mara ya mwisho nimepita leo hii jioni. ukweli ni kwamba WAZIRI AMELIDANGANYA BUNGE na hakuna hata dalili za kuwepo kwa ujenzi wa barabara ya lami zaidi ya kuharibika vibaya kwa barabara hiyo.
Nawaomba wabunge wa dar es salaam kusimama kidete kupinga uongo huu wa Magufuli ambao hauna faida kwa wananchi. Mnyika na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan tafadhalini hakikisheni mnamwambia ukweli Magufuli kuwa amewadanganya wananchi na taifa lote kwa ujumba.
Yani makufuli ni moja ya wanasiasa wanaofanya siasa yepesi sana
Eti mtu kama makufuli naye anandoto za kuja kuwa rais wa nchi hii
Siku ikitokea hivyo nabadili uraia nachukuwa wa somalia
Dr.john pombe magufuri kesho wabunge wataijadili bajeti yake,na yeye baadae atapata nafasi ya kutoa majumuisho ya majibu yake kutokana na hoja za wabunge,natumai kama amedanganya au lah,wabunge husika wapo mjengoni,watauliza na zaidi watamnukuu katika hiyo hotuba yake inayodaiwa kuwa kadanganya,sioni busara ya baadhi ya michango kukejeli au kutoleana lugha zisizokuwa na staha,tusubiri michango ya wabunge kesho na pia tusubiri majibu yake ya majumuisho ndo tutoe hukumu.
Wewe ni kimeo mkubwa, Huna haya nguruwe wewe, tangu lini wewe ukawa na gari? Kapumzike kaburini.
Huo ni uongo uliopitiliza, kabla mvua hazijaanza kuna mkandarasi alikua anaweka kifusi, alikua anafanya kazi chini ya kiwango bahati yake mvua ikaanza na nazani ndo amepata kisingizio, kwa vyovyote atasema alishamaliza kazi ila mafuriko ndo yakaharibu...
Wengine hatukusikia jamani, vipi barabara za Tabora amesemaje? Ile ya Nzega - Tabora na ile ya Tabora-Itigi?
Uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana
Unaongea ukabila karne hii sio kosa lako
Mchaga ndio mtu amekuwa akileta changamoto kwenye siasa za tz toka tunapata uhuru
Na mpaka leo fanya tathimini ni wachaga wangapi wapo kwenye siasa na wanaifanya ccm hailali
Si niya yangu kukupa uwezo wa mchaga kwenye siasa za tanzania
Ila nimejaribu kukutoa kwenye ujinga uliyotawala akili yako kuhusu wachaga
Jifunze kujenga hoja au kujibu bila kuhusisha ukabila na udini ili tuweze kukuamini kile unachokisimamia usiwe na damu ya nape utafeli mkuu
Hii umesema tu wewe, lakini wewe sio Mungu, sio malaika na wala sio wapiga kura zaidi ya million 20,,,Kikubwa awe mchagga awe mmakua au mbarabaigi tunataka rais msema kweli na atakayeweza kulinasua taifa hili hapa liliponasa, ni ulimbukeni na ukosefu wa elimu kuanza kuzungumzia ukabila wa mtu kabla ya uwezo wake na uadilifu wake!Kitendo chako cha kumbagua Magufuli nami nasema haitakuja tokea mchaga akawa president wa Tangayika na Tanzania
Hizi muulize Rage anajuaWengine hatukusikia jamani, vipi barabara za Tabora amesemaje? Ile ya Nzega - Tabora na ile ya Tabora-Itigi?
Sio Mahanga ni MajangaMbunge wa huko ni mahanga