Anakaribia kuanza mp msamehe bure
Yule ni mtu mzima hana hayo mambo tena. labda wajukuu wake. yule m bibi anakaribia miaka sabini sasa.
Wewe ndio mume wake hadi unamsemea hayo?
Anakaribia kuanza mp msamehe bure
Ha ha ha ha ha ha aha haaaa..................!!!!!!!!!!!Mama Anna anafanya kile waliomweka wanataka na hana ubavu wa kufanya tofauti na hivo kwani hatomaliza hata wiki anarudi kwenye kiti chake cha ubunge,hatuwezi jua labda huyu huyu anaweza akakabidhiwa white house kwani kama akina Lowassa,Membe,6 na wengine wakiambiwa waanze kuvaa skirt na mawigi wataweza?
Anakaribia kuanza mp msamehe bure
Wewe ndio mume wake hadi unamsemea hayo?
Jamani Humu Wote Tunachangia, Kupigana Madongo Kiaina Na Tukigombana au Kuhitilafiana Basi Tunaombana Radhi ILA KWA LUGHA Hii Ya Mdau Wangu Sidhani Kama Ni Heshima. Jamani Huyu Mama Hata Kama Ana Mapungufu Yake Ila Nina Uhakika Kwa Tulio Wengi Humu JF Huyu Spika Wa Bunge Ni Sawa Na Mama Yetu. NIMEJISIKIA Vibaya Sana Lugha Hii Kutumika Dhidi Yake. Mimi Na UCHAKARAMU Wangu Wote JAMANI NINAWAHESHIMU Sana Akina Mama Tena Haswa Wale NINAOWAONA Wana Rika Moja Na Mama GENTAMYCINE. Samahani Mdau Mwenzangu Kama Nitakuwa Nimekukwaza ILA Tujitahidi Tuwape Heshima Stahili Hawa Mama Zetu Na Hata Baba Zetu ILA Haswa Haswa Mama Zetu. NIMEJISIKIA VIBAYA Sana.
Mnyika alihoji swala la msingi kweli kuhusu umiliki wa Uda..akatolewa nje mwongozo wake..lkn imeonekana wazi shirika la Uda kuna utata pale,,na serikali ishajichanganya eti wanasema Uda tayari ipo chini ya umiliki wa halmashauri ya jiji pamoja na serikali...myika kauliza mbona bado Simon group nae yumo?kivipi?aah akakalishwa chini!