Kuna lodge ipo pale manzese Darajani karibu na mkwere Bar inaitwa syprus lodge bei yake ni 20k chumba safi,AC kama uko njombe usalama wa hali ya juu, ipo barabarani. Changamoto yake ni kelele za mziki kutoka bar za pembeni ila fresh tu
Huu mfumo kuna wakati nawaza kwamba wali introduce ili kuwalinda giant banks wasinunuliwe wateja wao? Kwani imekuwa kero na tumepiga kelele sana lakini hakuna jambo wanafanya aisee
Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
Habari za jioni wanajukwaa;
Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni.
lakini nikakumbuka siku za nyuma...
Habari wanajamvi,
Gari yangu Toyota premio (1.5L) imekuwa na changamoto kadhaa amabazo nashindwa kizipatia majawabu.
(i) Gari kukosa nguvu inapopanda mlima, hili tatizo lilianza miezi mitatu iliyopita siku moja nilinusurika ajali wakati nina overtake kwenye mlima nilishangaa gari hainipi ile...
Habari wandugu,
kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja na Bomba la maji limepita pembezoni mwa kiwanja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.