Usitumie "Reviews" kama kigezo cha kununua Bidhaa mtandaoni utajuta

Hizo revews ni za biashara/makampuni halali au ni page fake zilizotengenezwa na hao matapeli?
Ni website za makampuni genuine yaani tour companies zote za hapa Tanzania ndio wanakuletea uweke review
 
Back
Top Bottom