Recent content by I_bin_suleyman

 1. I_bin_suleyman

  Nahitaji Water Pump Used

  Ahsante sana mkuu.
 2. I_bin_suleyman

  Nahitaji Water Pump Used

  Wakuu nasubiri majibu yenu maana nahitaji water pump hukuniliko zauzwa hzo zaidi kwa Bei za 350000 hadi 400000 kwa inch 3
 3. I_bin_suleyman

  Nahitaji Water Pump Used

  Wakuu Hivi hizi water pump za company ya boss zinazotumia petrol ukubwa inchi 3 huwa kwa uzoefu wenu zina uwezo kiasi gani wakuu?
 4. I_bin_suleyman

  Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

  Kwa Tanzania alikua nyerere ktk hotuba zake zilikua zatoka kichwani muda wote yaani bila kyandikwa ktk Afrika mwingine ni MUGABE .
 5. I_bin_suleyman

  Simanjiro: Afa kwa shoti ya umeme baada ya kutamani waya ulioshikilia nguzo ya umeme

  Kama kweli kapambana nao kwa kuuvuta na kuuzungusha pale lazima uguse nyaya zenye moto na pale kati hua kuna insulator sasa kwakuvuta na kusukuma yaweza gusisha vile vipande chajuu na cha chini ambavyo vimetenganishwa na insulator ile kwahyo short au umeme hupita moja kwa moja hadi aridhini.
 6. I_bin_suleyman

  MBEYA: Walimu 4 wamvua nguo na kumchapa viboko mwanafunzi huku mmoja akimtomasa nyeti

  mmmmmh.. hawa walimu kweli au watuliza ghasia mashuleni?
 7. I_bin_suleyman

  Anayejua viwango vipya vya mshahara atujuze

  Hapo nikutimiza ahadi ya kuongezea walimu mshahara na kupunguzia makato ya kodi kwa maana a hadi ishaa timizwa hapo kwa hizo 2%.
 8. I_bin_suleyman

  Nafasi za kazi kampuni ya NAAWEP zilikuwa za kweli?

  Hivi hii kampuni ya NAAWEP ilioko America ya kaskazini ilitoa ajira kwa watu isipokua wazawa wa America ya kaskazini sasa wakubwa nauliza ipo kweli hii kampuni au ni wezi hawa maana hivi karibuni walitoa nafasi za kazi walioingia ktk short listed waliambiwa watafute passport ya kusafiria then...
Top Bottom