Nahitaji Water Pump Used

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,148
2,000
Kwa mwenye nayo wakuu,,nimeingia rasmi kwenye kilimo ila water pump ziko juu kidogo dukani, kwahyo mwenye nayo used tunaweza kuongea tuuziane kwa bei ya kupoa

Au anayejua duka ambalo naweza kupata aina ya Boss ya inch 3 kwa bei isiyozidi laki 2 anijuze pia.

Mwamba.
 

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,148
2,000
Wakuu ina mana hamuna mwenye pump au mwenye kujua duka zinapopatikana kwa bei rahis??
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Upo wapi mkuu?kama upo dar nenda pale karibu na kiwanda cha azania kunajamaa wanauza.zilizo tumika toka japan
 
Jul 23, 2016
11
45
Wakuu Hivi hizi water pump za company ya boss zinazotumia petrol ukubwa inchi 3 huwa kwa uzoefu wenu zina uwezo kiasi gani wakuu?
 

Noelly

Senior Member
Aug 10, 2017
121
225
Usikarili tuu hiyo ya aina moja mkuu.
8d6c563eca4119029a5b635494e182b7.jpg
19ad11831c03a1c74725fbf1766e855b.jpg
.
Hii pia ni powerd nzr naitumia nina muda nayo sasa japo nina ya kijapani Honda.
Ila hiyo pia ni nzr napo itumia ni seemu pana mlima na ina fanyakazi vzr.
Ukiwa unaitaji,bei laki nne Arusha.
 

ALF

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
207
250
Ndugu inchi 3 mbona kubwa sana?? Unaenda kujaza majaruba?. Mimi kama ni Ushauri wangu kwa ukubwa huo tafuta ya diesel na Huwezi kupata kwa bei hiyo.

Vinginevyo tumia hizi za inchi moja nanusu za petrol na vizuri ukanunua mpya, kama used ime kutoka nje sio hapa bongo. Kama ni bongo labda muuzaji awe nashida ameamua kuuza sio kwa wewe kuomba kununua used utaingia mkenge.

Vilevile ukiweza kopa au nunua za kutumia solar ili kupunguzia ghalama za mafuta.

Kila lakheri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom