Nafasi za kazi kampuni ya NAAWEP zilikuwa za kweli?

Jul 23, 2016
11
45
Hivi hii kampuni ya NAAWEP ilioko America ya kaskazini ilitoa ajira kwa watu isipokua wazawa wa America ya kaskazini sasa wakubwa nauliza ipo kweli hii kampuni au ni wezi hawa maana hivi karibuni walitoa nafasi za kazi walioingia ktk short listed waliambiwa watafute passport ya kusafiria then kila kitu kuhusu nauli yakukwea ndege watagharamikia wao kuelekea Marekani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom