Simanjiro: Afa kwa shoti ya umeme baada ya kutamani waya ulioshikilia nguzo ya umeme

Jul 23, 2016
11
45
Imekuaje waya wa support wa nguzo kupitisha umeme? habari haijitoshelezi.
Kama kweli kapambana nao kwa kuuvuta na kuuzungusha pale lazima uguse nyaya zenye moto na pale kati hua kuna insulator sasa kwakuvuta na kusukuma yaweza gusisha vile vipande chajuu na cha chini ambavyo vimetenganishwa na insulator ile kwahyo short au umeme hupita moja kwa moja hadi aridhini.
 

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,853
2,000
Kama kweli kapambana nao kwa kuuvuta na kuuzungusha pale lazima uguse nyaya zenye moto na pale kati hua kuna insulator sasa kwakuvuta na kusukuma yaweza gusisha vile vipande chajuu na cha chini ambavyo vimetenganishwa na insulator ile kwahyo short au umeme hupita moja kwa moja hadi aridhini.
Hapa umefafanua vizuri sana.
 

Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,603
2,000
Stay wire inayo ceramic insulator hapo juu ajabu imepitisha umeme hadi kusababisha kifo.
Itakuwa ilikuwa na resistance ndogo, labla hiyo inslator ilitengenezwa kwa ajili ya LV(240 to 220v), ikawekwa kwenye nguzo ya 11KV au 32KV lazima ipitishe tu umeme, mfano mzuri hizi tesa tunatumia majumbani ndani yake kuna resistor inayoweza himili 240v ndio maana tunaitimia bila shida yoyote, tester hiyo ukiitumia kwenye 11kv lazima usome number
 

R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,203
2,000
View attachment 372944 nifahamishe vizuri sababu kuanzia hapo kwenye red hadi kushuka chini huwa umeme haupiti sasa imekuwaje mpaka umeme umemuua?
Mkuu nadhani huwa kuna makosa ya kiufundi huwa yanafanyika kwa sababu hata maeneo ya Mbagala mwaka huu mwanzoni kuna mtoto alifariki kwa kugusa huo waya tena wenyewe ulikuwa bado umechimbiwa chini.So haikujulikana ule umeme ulifikaje mpaka kule chini
 

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,636
2,000
huo waya unaitwa stay,ni kwaajili ya kusupport nguzo kuelemea upande mmoja,na kwa aina ya umeme ulipo hapo
kitaalamu tunaita HT ni umeme mkubwa sana kuanzia 11kV nakuendelea,,,,,


angalizo,,msicheze na umeme wala usijaribu kushika waya wa umeme uliodondoka chini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom