Angalia salary slip ya mwezi uliopita utaona vizuri rates za mwezi huu wa saba.Habari zenu wapendwa hivi Kuna mwenye kujua new government salary scale zitakazo anza kutumika mwezi wa saba atujuze? Niwatakie kazi njema
Si ndio matokeo ya kushushwa PAYE 2%?Wameongeza 3800!!!!!!!!
HESLB wameshachukua chao mtumishi,sijaelew, kwangu naona kuna hela ndefu imepungua.kesho inabidi niwahi nichek bank statement
Teh Teh Mwl mshahara wako umezuiliwa kwakuwa wewe ni mtumishi hewaAcha masihara kwenye vitu nyeti asee
Teh Teh sasa rejesha mkopoUmenifanya nikope nipige tafu ili kucheki, sio fresh bana