MBEYA: Walimu 4 wamvua nguo na kumchapa viboko mwanafunzi huku mmoja akimtomasa nyeti

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,101
2,000
Hii nchi kila mtu anatafuta pa kumalizia matatizo yake;
shauri zao sasa,
hawa watoto wa miaka hii watawafunga bure;
 
TZ yetu

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
375
250
Uchunguzi utatupa jibu sahihi, ndio maana mimi mwalimu wa enzi hizo nilikua nawapa kuhamisha kokoto ndoo hamsini na baadae namwambia azirudishe alipozitoa .
 
proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,235
2,000
Hajaiba Mume wa Ticha huyo ,maana hivi vitoto vya kike vya sikuhizi ni hatari sana.
 
Sagungu 1914

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
829
500
Hao walimu nao bwana kwa nini wasumbuke na wanafunzi jamani,kwani mwanafunzi akitongozwa huko nje mm mwl napata hasara gani?.Ona sasa wamepata msara bure kwa kufuatilia maisha ya mtu.
 
Ilankunda1234

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
4,442
2,000
Hao walimu nao bwana kwa nini wasumbuke na wanafunzi jamani,kwani mwanafunzi akitongozwa huko nje mm mwl napata hasara gani?.Ona sasa wamepata msara bure kwa kufuatilia maisha ya mtu.
Tatizo walimu hua na moyo wa kutamani mtoto afaulu kwa myanja zote kimadili na kitaaluma
Kuna majukumu mengi inje na kufundisha masomo

Sasa kwenye malezi inabidi wajitoe wabaki na madarasa tuu,
Walimu msome alama za nyakati wafike darasani tu waangalie masomo yao suala la maelezi wawaachie haki za wanawake, na taasisi zao
 
kiogwe

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
3,695
2,000
Ana mapaja mazuri sana huyo unatafuna hadi mifupa hata km gari la kustua kitu kinarudi km zamani
 
kinje ngwale

New Member
Jul 12, 2016
1
20
Kwetu walimu tujitahidi kuthibiti hasira zetu lakini pia mkuu,makamu na kamati ya nidhamu wawe wanatoa adhabu stahiki kwa wanafunzi wanaowagomea waalim km vile kuwapa suspension au kuwafukuza kabisa ili kudumisha nidhamu shuleni
 
feitty

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
2,090
2,000
Mi ningekuwa teacher nisingekuwa na muda na hao watoto,watoto wa siku hizi ni shida,wanaweza hata kukufukuzisha kazi,we kama mtot kaharibika shauri yake dunia itamfunza,usishangae ukakuta tatizo mwalimu wa kike anagombania mwanafunzi wa kiume na mwanafunzi wake,yapo.. nimewahi kusikia mwanafunzi Nkasi kazaa na mwalimu wake wa kike,sijui hii saga iliishia wapi?
Mi ndo maana nimeapa mwanafunzi afanye ujinga anavyoweza adhabu yangu viboko vitatu akinishinda namuacha kama alivyo mana ukijitia hasira unakuja jiletea shida bure mara kibarua kimeota nyasi.Watoto wengine wameshindikana huko makwao unafkiri wewe utaweza kumrekebisha.Pia iwe fundisho mana kuna walimu wana sifa na shobo anamuadhibu mwanafunzi kwa sifa hata kama kakosa ni kadogo
 
peterwapeter

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
530
500
Ila watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.

Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?

Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.

Kweli haiwezekani walimu wanne wote wamuonee yeye, mitoto ya namna hii ndio inaharibu hata image ya shule kwa ununda na matukio yao, sisi werevu tunataka na upande wa pili uliokamilika la sivyo huyu mwandishi ni mchochezi mwenye nia ya kuwashusha walimu morali au nae mdau
 
Sagungu 1914

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
829
500
Tatizo walimu hua na moyo wa kutamani mtoto afaulu kwa myanja zote kimadili na kitaaluma
Kuna majukumu mengi inje na kufundisha masomo

Sasa kwenye malezi inabidi wajitoe wabaki na madarasa tuu,
Walimu msome alama za nyakati wafike darasani tu waangalie masomo yao suala la maelezi wawaachie haki za wanawake, na taasisi zao
Mkuu inabidi walimu wasome nyakati waachane na watoto wa watu kazi iwe moja tu KUFUNDISHA.Kwa sababu ukimwonya kama mlezi anaweza akakugeuzia kibao kuwa unamtongoza ndio maana unamfutilia. Leave them alone please.
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,428
2,000
Pole sana binti.

Hao Waalimum wanapaswa nao kuchapwa wakiwa uchi wa mnyama kama walivyomuadhibu huyu binti.

Tumewaamini kuwapa watoto wetu lakini siyo kuwafanyia hivi, na bila shaka hawana watoto home kwao.

Kama mtoto ni mtoro kwa nini wasingewaqita wazazi wao au kumpa adhabu mbadala?????????

je walivyomchapa ndio wamewafahamu hao mabwana zake????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,428
2,000
Kweli haiwezekani walimu wanne wote wamuonee yeye, mitoto ya namna hii ndio inaharibu hata image ya shule kwa ununda na matukio yao, sisi werevu tunataka na upande wa pili uliokamilika la sivyo huyu mwandishi ni mchochezi mwenye nia ya kuwashusha walimu morali au nae mdau

Tumewekewa na ppicha lakini hapo jinsi alivyoumia.

Je mnataka kutuaminisha kuwa ni sahihi kumuadhibu mtoto akiwa uchi.

Ni unyama huu haiwezekani kabisa. Sheria ichukue mkondo wake.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
delas

Member
Jul 24, 2016
17
45
Hapa kazi tuuu, haijaliwi wapigao kazi ni mburula kiasi gani.....nazani kabla ya kuwaajiri walimu kwanza wapimwe kisaikolojia na uathirika wa dawa za kulevya maana matendo haya yakinyama sana sio bure
 
Mapya Yaja

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
560
500
Naona dalili za propaganda katika taarifa hii. Sidhani km walimu wakiwa na mkuu wa shule pamoja wa kike wanaweza kufanya hayo yaliyoelezwa. Hata hivyo sijasikia wanafunzi wenzie walioshuhudia tukio hilo. Huyu mwandishi achunguzwe inawezekana kalishwa maneno ya kuandika.
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,434
2,000
Ila watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.

Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?

Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.
Haingii akilin eti mwalimu wa kiume ashike sehem za siri za mwanafunzi wa kike mbele ya walimu wenzake ambao ni wanawake.Ukiondoa hivyo viboko alivyochapwa,inaonekana mwanafunzi huyo aligundulika kujihusisha na mapenzi kitu ambacho kinaonyesha kwamba walimu wa kike akiwemo wa nidhamu walishindwa kumbana na kuhitaji msaada wa mwalimu wa kiume,by the way kama mimi nigekuwa mzazi ningemtibia kisha kesi ingehamia nyumbani.Haki ya nani angetaja tu vibwana vyake na walimu ningewanunulia hata ka jogoo cha pongezi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom