Nimeamini kweli mapenzi yanaua kabisa,watu wameuana kwa sumu,risasi,visu,mishale,mikuki,na kila aina ya silaha kisa mapenzi,ukitaka kumharibia mtu siku yake basi mguse kwenye mapenzi.
Nachoandika hapa nipo serious kupita kiasi,mtu akileta utani hapa wakati mimi nateseka na kupenda naapa...