First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Andika tu kiswahili.
Umeboronga hapo duuuhhh..
Anyway hopefully ujumbe wako umefika.
na mimi naanzisha id nyingine ya I LOVE AFRODENZI.. unaniruhusu?
Andika tu kiswahili.
Umeboronga hapo duuuhhh..
Anyway hopefully ujumbe wako umefika.
na mimi naanzisha id nyingine ya I LOVE AFRODENZI.. unaniruhusu?
Andika tu kiswahili.
Umeboronga hapo duuuhhh..
Anyway hopefully ujumbe wako umefika.
ha ha ha ha ha ha ha okey that gooodddddddddddd goder .......... ha ha ha a ha ha life is full of adventures let me explore..
upendo wako juu yangu uko wazi hauhitaji kutangaza 🙂
Nashukuru kwa kunifikiria . hilo latosha kabisa..
Kweli sumu imekuingia mwenyewe umetulia unaisikilizia inavopenya kwenye mfishipa msisimko....
Kitambo ckuoni bila shaka tongozo limekuvuta
Ni Pm Mwenzako Nina Mengi Ya Kuongea Nawe.
[h=3]Nataka Kufunga Ndoa Na Miss Chagga.[/h] Started by I Love Miss Chagga., Today 15:27When I First Met Your Message into Pm it Made Me Completely crazy,I felt as if you're with me on the six feet to six feet matress having hugged me,lol The Mods Want Me At Least To Contribute 5 Times inthe forum topic so that I'll have an access to Pm,well Re-pm Me And I Will Be Very Much Grateful,and I'm Profundly Pleased With Your Quick Response,be Blessed.
Wakuu hii siyo utani nipo serious kabisa,nimetokea sijui niseme kumkubali sana miss chagga,maana nikisema nampenda sana nitaulizwa ulishawahi kumuona??? umri wangu ni miaka 31,kazi yangu ni biashara na kipato changu kwa mwezi ni sh milioni 2.3 au zaidi kulingana na fluctuation ya ka biashara kangu,nina imani nitaweza kumtunza vyema na hatakosa mtori,mbege,safari bariiiidi,na matunzo mengine,baada ya mwaka nitaweza kumnunulia ka gari hata ka toyota opa ili my wife aache kupanda daladala,kama ana ka usafiri basi inshalaah,hiyo hela tutaitumia kutafuta kiwanja kimara temboni au kiluvya,japokuwa sijui umri wake hilo si tatizo mie ndo nimeshapenda mwenzenu,sababu iliyonifanya kumzimikia huyu mdada ni kuwa,kati ya madada wengi wa humu JF ni huyu tu ambaye hana kauli mbaya za kijinga,mstaarabu,comment zake zimetulia sana,inaonyesha ana malezi mazuri aisee,iwapo nikibahatika kumpata nina uhakika nitakuwa nimepata wife wa ukweli,hodi hodi hodi kilimanjaro I Love Miss Chagga,ngoja Nijipange ili kumpata huyu mrembo.
she is on leave, and has just arrive in Kilimanjaro, to enjoy KICHORYI
duh hadi username umetengeneza.. kweli mapenzi upofu
Anajisumbua ni nke ya ntuhakuna cha maana hapa, watu wanatafuta papuchi tu.
Wakuu hii siyo
utani nipo serious kabisa,nimetokea sijui niseme kumkubali sana miss
chagga,maana nikisema nampenda sana nitaulizwa ulishawahi kumuona???
umri wangu ni miaka 31,kazi yangu ni biashara na kipato changu kwa mwezi
ni sh milioni 2.3 au zaidi kulingana na fluctuation ya ka biashara
kangu,nina imani nitaweza kumtunza vyema na hatakosa
mtori,mbege,safari bariiiidi,na matunzo mengine,baada ya mwaka nitaweza
kumnunulia ka gari hata ka toyota opa ili my wife aache kupanda
daladala,kama ana ka usafiri basi inshalaah,hiyo hela tutaitumia
kutafuta kiwanja kimara temboni au kiluvya,japokuwa sijui umri wake hilo
si tatizo mie ndo nimeshapenda mwenzenu,sababu iliyonifanya kumzimikia
huyu mdada ni kuwa,kati ya madada wengi wa humu JF ni huyu tu ambaye
hana kauli mbaya za kijinga,mstaarabu,comment zake zimetulia
sana,inaonyesha ana malezi mazuri aisee,iwapo nikibahatika kumpata nina
uhakika nitakuwa nimepata wife wa ukweli,hodi hodi hodi kilimanjaro I
Love Miss Chagga,ngoja Nijipange ili kumpata huyu mrembo.
Sio wanawake wote wa kichaga wana pesa