lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,494
- 1,057
Anajisumbua ni nke ya ntu
Kuolewa bongo atachepuka kidogo kulingana na ngawira za huyo baadae atarudi njia kuu mradi asivunje sheria za nchi lol.
Anajisumbua ni nke ya ntu
hakuna cha maana hapa, watu wanatafuta papuchi tu.
Kuwa makini wachaga wengi wanakuwa 'flat screened'
au flat bottomed flask
hakuna cha maana hapa, watu wanatafuta papuchi tu.
bushland tuheshimiane pls,mie nataka ndoa na si papuchi,hujui kuwa ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi? kama nina shida na papuchi mbona zipo nyingi tu mitaani? mie nataka ndoa bwana.
au flat bottomed flask
bushland tuheshimiane pls,mie nataka ndoa na si papuchi,hujui kuwa ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi? kama nina shida na papuchi mbona zipo nyingi tu mitaani? mie nataka ndoa bwana.
Yani nilikiwa chini ya mikahawa nikaitwa kwa nguvu zote loh nimefika hapa nakutana na upendo.huu aisee i love miss chagga
haya weee
Kuwa makini wachaga wengi wanakuwa 'flat screened'
Yupo sahihi, utakuwaje na nia ya kuoa bila kumfahamu mtu. Nakueleza huyo ni mke wa mtu ingawa hapa JF ni missbushland tuheshimiane pls,mie nataka ndoa na si papuchi,hujui kuwa ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi? kama nina shida na papuchi mbona zipo nyingi tu mitaani? mie nataka ndoa bwana.
ha ha ha ha ha huu mwaka namaliza vizuri jamani.. nipeni na mahelabut miss chagga ni 'screen ya chogo'. kafungasha vizuri tu, namfahamu vyema huyu bidada.