Recent content by i am kiombile

  1. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

    Kuingia ntaani sio issues. Issue ni kupunguza gharama premium kuwa 35,000
  2. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuna dawa ya kuzuia VVU visikuathiri ndani ya masaa 72 ya maambukizi?

    Cdhani wewe jiandae kuomba mungu tu
  3. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania RICH DAD POOR DAD: Nimemaliza kusoma kitabu hiki, nisome kipi kingine?

    Soma rich mom poor mom
  4. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hata kama umekula hela si unyamaze!!

    Tunajiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa na wala sio hoja. Ni vyema rais aheshimiwe na ashauriwe
  5. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame azidi kuongeza ndege, anunua Boeing 737-800. Pangaboy mpo?

    Tumwache tu hata warwanda hawafiki mil20
  6. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    Asante kwa ufahamu binafsi ckujua kabisa
  7. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

    Nafikiri una changamoto ya kujua taratibu za utoaji wa mikopo. Nakuahairi tembelea ofisi za saccos wakupe maelekezo ya namna ya utoaji mikopo usikurupuke. Tena mbali zaidi hata maana yenyewe ya neno saccos hujui
  8. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali iyanunue yale Makontena kwa Bei ya ACACIA ikayauze kwa Bei ya Prof. Mruma

    Ucje ukashangaa kuckia soko la madin yatokanayo na mchanga limeshuka bei
  9. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Hata maige alikuwa kijana sana lkn alivurunda. Hii wizara Hata akae Donald Trump tutapigwa tu madini mmmhhh
  10. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

    I think after inafanana session
  11. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Epicor wafeli kwenye halmashauri za Dar na Pwani

    Issue ya network haisababishwi na epicor. Network ni miundombinu tu sasa inatakiwa hizo halmashauri iziimarishe network zao ili epicor ifanye kazi vizuri. Epicor inaweza kufanya kazi pasipokuwa na internet na pia zina licence ya web browser kupitia internet pia muache kuwarubuni wananchi
  12. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Daaaahhhh
  13. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mtumishi wa umma hafukuzwi kwa kauli

    Mimi nadhani rais jpm yupo right kabisa. Serikali imeshaingia hasara sasa wale watumishi ambao wana uhakika kuwa necta imewaonea waende mbele ya sheria wakadai haki yao ila wale ambao ni kweli feki au non qualified hawtaweza kwenda front kwa watajishitaki wenyewe. Serikali imeshakula hasara tena...
  14. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

    How can you compare their quality with others. Their is so poor hata mama ntilie vyakula vyao ni bora kulinganisha na wao
  15. i am kiombile

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Ni hatua nzuri lazima tujue ukweli mana tunaibiwa tu
Back
Top Bottom