Lengo sio anyongwe Bali awe nje ya siasa kwa maana akikutwa na hatia atakuwa hana sifa tena ya kuwa mgombea wa Uraisi halafu Mama atatoa msamaha au akubali maridhiano
Sio tu kupewa taarifa lakini pia vyombo vyote vilivyoitwa watoe ushahidi vimekula unyoya, Kesi ya Uhaini ni kubwa kuliko kesi yoyote vimeshindwa vipi kutoa ushahidi kama kweli Uhaini umefanyika hii ni sehemu Tundu Lissu kapata point 3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.