Hii ni page ya burudani sio ya siasa Kuna jukwaa lake la siasa nenda katoe maoni yako kuleTusimame na huyo takataka mshkaji ake domo aliyetutusi kuelekea oktoba 29?
Hii ni page ya burudani sio ya siasa Kuna jukwaa lake la siasa nenda katoe maoni yako kuleTusimame na huyo takataka mshkaji ake domo aliyetutusi kuelekea oktoba 29?
Aisee ni hatariMbuzi katafuna mkeka. Wapambe mtakaa wapi?
Inaitwa from Dar to LagosAliona pis za bongo hazimfai acha akomeshwe😂
Si kweli ,hawezi kuisha namna hiyo.Sio AI mkuu
Swali kama hili unataka nikujibu nini?Nani Gen Z hapa?
Kwahiyo wale wote walio owa pisi za Bongo wao wamestarehe sio? hakuna wanaokomeshwa sio?Aliona pis za bongo hazimfai acha akomeshwe😂
Janaw nimekesha nacheka tu kama mazuriUkitaka ucheke ufe nenda kwenye comment section ya wabongo insta au ticktock.
Lowkey wabongo wengi ni comedians.
Umeanza ubishi wako mkuu? Are u okay kweli? Maisha yako magumu eti eeh?Swali kama hili unataka nikujibu nini?