Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Wanigeria sio watu wazuri wake wanapenda starehe alafu sherehe kila siku hadi najiulizaga oesa anatoa nani sijui mwamba inaonekana alimchukua yule binti ili amkomoe vanesa tu
Kamaliza kumkomoa vanesa, sasa anajuta
 
Kimapenzi wanawake wa Nigeria wanapenda kutawala na kutoa amri, yaani awe juu ya mwanamume, anauwezo wa kukwambia simtaki mama yako aje hapa na utafanya hivyo. Wabinafsi wanaojipenda sana wenyewe, tena ukimpata mwenye pesa ndio ujue umekwishaaaaa. Wanakabaaaa balaaa, hupati muda wa kuwa peke yako lazima ajue uko wap, na nani na unafanya nini. Simu yako ni yake!!!
Kumbe ni hybrid na Wanawake wa Kinyaki😄
 
Kuna aina fulani ya watu kuwa kama wamefeli katika maisha yao na kutaka kuishi ndoto zao kupitia ma celebrity.

Watu hawa wanatamani kuishibkama hao ma velebrity, ila hawawezi, kwa hiyo wanaishia kuwakosoa tu.

Wanajifanya kama wanawajua sana ma celebrity. Wakati hawawajui ki jivuo, na hao ma velebrity hata hawawajui hawa watu.

Wanaishi kwa uraibu wa kuwafuatilia sana ma celebrity. Ni uraibu kama wa madawa ya kulevya.

Hii ni aina fulani ya ugonjwa wa akili na projection fulani ya kuziweka failures za mtu ziende kuwa kwa celebrity.

Mtu aliye busy na maisha yake, ana kazi zake nyingi, ana biashara zake, ana mambo mengi ya kupanga kwenye kuboresha familia yake, anajielewa, anaelewa uhuru wa mtu binafsi hata wa celebrity kuwa na maisha yaje, anaanzaje kumfuatilia Jux kihivyo?

Muda huo anaupata wapi?

Kaka.. Nature ya wanadamu ni kupenda kufuatilia maisha ya watu.. Ukijaribu ku I suppress hiyo utakosa raha duniani.. Huwezi kabisa kumzuia mwanadamu kufuatilia maisha ya watu wengine hasa watu maarufu.. Ndio maana enzi za magazeti na majarida, wamiliki walipiga ma milioni ya dola kwa kuandika habari za watu.

Unacho kisema kuhusu watu kutaka ku project failure zao kwa watu wengine ni kitu ambacho kweli kipo lakini kwa suala la.la Jux hapana ni watu tu wamekuwa concerned na mabadiliko ya muonekano wake.. Jux ni kipenzi cha watu..

Kingine ukiwa celebrity unaweza kuzuia vitu vyote lakini huwezi zuia kuzungumziwa na watu.. Jux na mkewe wanaweka maisha Yao public kwa sababu wanataka watu wayazungumzie..

Kama Jux angekuwa just " Any other person " kweli ungekuwa sahihi kwa kusema mambo yake binafsi yasifuatiliwe..
 
Tatizo anaishi kwenye kivuli cha Vanessa ,hakuweza kuishi maisha yake tena baada ya kuachana na Vee...ukiweka na maneno ya shombo ya wabongo kuhusu kukimbiwa, akaona na yeye atafute mnigeria...wale watu sio asee

Hata huyo Vanessa anaigiza tu humo na huyo mnigeria, ni kanateseka balaa🤣🤣🤣
Aisee. But Rotimi anaonekana gentleman. Amezaliwa New Jersey na wazazi wake wapo Marekani since early 90s huenda akawa tofauti na " Continental Nigerians "
 
Kaka.. Nature ya wanadamu ni kupenda kufuatilia maisha ya watu.. Ukijaribu ku I suppress hiyo utakosa raha duniani.. Huwezi kabisa kumzuia mwanadamu kufuatilia maisha ya watu wengine hasa watu maarufu.. Ndio maana enzi za magazeti na majarida, wamiliki walipiga ma milioni ya dola kwa kuandika habari za watu.

Unacho kisema kuhusu watu kutaka ku project failure zao kwa watu wengine ni kitu ambacho kweli kipo lakini kwa suala la.la Jux hapana ni watu tu wamekuwa concerned na mabadiliko ya muonekano wake.. Jux ni kipenzi cha watu..

Kingine ukiwa celebrity unaweza kuzuia vitu vyote lakini huwezi zuia kuzungumziwa na watu.. Jux na mkewe wanaweka maisha Yao public kwa sababu wanataka watu wayazungumzie..

Kama Jux angekuwa just " Any other person " kweli ungekuwa sahihi kwa kusema mambo yake binafsi yasifuatiliwe..
Hakuna nilipomkataza mtu kufanya lolote. Nakuwekea observations zangu tu hapa na logic yake.

Na hoja ya "nature ya mwanadamu ni..." ni logical fallacy, argument from nature.

Kama nature ya mwanadamu ni kuumwa maana yake tusijikinge na magonjwa kwa sababu nature ya mwanadamu ni kuumwa?

Kama nature ya mwanadamu mwanamme ni kutaka kumlala mwanamke mzuri yeyote anayempitia mbele yaje, basi amlale tu kwa sababu ni nature yake?

Hatuishi kwa kujizuia tusifanye mambo fulani ambayo tunataka kuyafanya naturally?

Yani mimi mwanamme nina kende zangu, mke wangu, watoto wangu, maisha yangu, niache kupanga maisha yangu, ndoa yangu, niende kushadadia ndoa ya Jux kweli?

Mtu ambaye hanijui, simjui?

Yangu sijayamaliza, niyafuate ya Jux?

Huoni tatizo hapo?

Hii si ile habari ya kujifanya mko concerned iki kupiga umbea tu?
 
Back
Top Bottom