Recent content by Hydrocephalus

  1. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Basically si kwamba naogopa kivuli cha mke wangu!! But I don feel free, for her to see some of my opinions in JF. I share most of the things with her. Lakini kwa hili, ninakuwa na restrictions kutoa some opinions. I mean, kila nitakachotaka kuandika nitakuwa najaribu kuassess implication yake...
  2. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Hapana si kweli!!. Look at this issue in a different perspective, you might understand what i mean!!
  3. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Nimetumia user name nyingine, hata ukiangalia inaonesha bado ni Junior member, but mimi ni Nguli Hapa JF wa Kuanzia Mwaka 2008. Na nisingependa niachane na Hiyo status niliyofikia.
  4. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    jamani, JF is a place where one dares to speak openly under the umbrella of anonymity, sasa mkeo akishajua, kuna chance ya mtu wa tatu kujua. Na wengine tunaweza poteza hata kazi kama ikitokea watu fulanifulani wakafahamu na kuona what we are " or have been" Posting. Na pia jamani to be sincere...
  5. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
  6. H

    Sitaki tena msichana bikra!!

    Asikuambie mtu kaka, niulize mimi yaliyonikuta. Lakini nashukuru Mungu mwisho nilifanikiwa!!, Inaitaji uvumilivu na hatimae kanguvu kidogo ni lazima katumike.
  7. H

    Wema sepetu:kanumba hajawahi kuniacha!

    "She is an icon". Kama vipi andika kizigua tu, inaruhusiwa
  8. H

    Nifanye nini? Mke wangu ameijua user name yangu ya JF!!

    Habari! Naomba mnishauri jamani,leo nimegundua kuwa mke wangu kaijua username ninayoitumia JF. Nifanye nini? Niendelee kuitumia au nibadilishe?
  9. H

    Najua watoto wamelala muda huu.....

    Akhsante, ndo najaza mafuta hapa. Mwenza anakausingizi kidogo!
  10. H

    Msaada: Kuhama kazi kwenye chuo kikuu cha uma

    Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  11. H

    Mwanafunzi, Baba yake wauliwa kikatili na BodaBoda Bunju "A" Shule

    Tatizo hivi sasa hii nchi haina sheria, kila mmoja anafanya vile anavyotaka. Huu utamaduni wa watu kuchukua sheria mkononi ndio msingi wa mambo yote haya na mengine kama hayo. Lakini pia ugumu wa maisha na misongo huwafanya watu wawe na chuki isiyokuwa na msingi kwa binadamu mwenzake, na...
Back
Top Bottom