Recent content by Huusein

  1. Huusein

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Je ungekuwa aupo duniani angemlea Nani mpk utafute sbb ya yy mdg. Juwa maisha ni magumu na ww lzm unataka uponee hapo na yy kujigawa hawezi mpe mtt kwa masherti ya unataka kumuona mwanao akuachie km wkt wa likizo Hata km ni chekechea. Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
  2. Huusein

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Pacha Wangu ongera
  3. Huusein

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Huku Dar natereza tu kwa voda na hakuna mtandao nilie ukubali km vodacom tz big up
  4. Huusein

    JamiiForums Tanzania Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

    Mh aeleweki mtoa post Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Huusein

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahindi na hizi biashara

    Na walidhumiwa izo nyumba wkt wa utawala wa kwanza nyingi zisomeni juu utakuta majina yao na waliachwa wakae walipe kodi na ndio wako mpk leo
  6. Huusein

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahindi na hizi biashara

    Ubaguzi huooo unakuja kwa chuki zisizo na maana
  7. Huusein

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    Sisi kwa kujisifu hatujambo mwenye nguvu hajisifu anasifiwa na wengine
  8. Huusein

    JamiiForums Tanzania Utata na historia ya Salum bin Almasi aliyeuawa Kurasini akituhumiwa ni jambazi

    Uchunguzi uo anaufanya nani ukapata Jibu sahihi Si yuleyule alieuwa
  9. Huusein

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    wanajisumbua uwezi nilazimisha kununua kitu nisichopenda tena ndio tususe kbs tuwaache waangalie wenyewe na madude yao mtu anaweka sumu alf anaonja km imekolea alf anampa mtu eti mtu anaathilika ye alieonja yuko powa
  10. Huusein

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Nyie mnaliona dogo ilo watu kuumizwa unataka tusijuwe kumbuka hayo ndio mambo ya kupewa kipaumbele
  11. Huusein

    JamiiForums Tanzania Hivi wahamiaji haramu Tanzania ni wasomali na waethiopia tu?

    Kweli kbs wamelengwa wao tu
Back
Top Bottom