Ndugu zangu,
Ama kweli hii dunia tunapita, binamu yangu wa kiume kapata mchumba, tukamsindikiza kuvalisha Pete na kutoa kishika uchumba, hiyo sherehe ndogo ikafaana kweli kweli, tukala na kunywa tani yetu, shemeji yetu alikua mjamzito pia,
Wiki iliyopita amepaki gari pembezoni mwa barabara...