Recent content by Hustler89

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi wakuu kuna haja ya kungoja pdf? Si nasikia sasa hivi placements unaikuta kwenye account yako masaa matatu kabla ya mkeka?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Vipi CRDB bado tu?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hajawahi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Eti wakuu naomba kuuliza sisi tulifanya interview ya afisa ushirika tarehe 28 mwezi wa tano walikuwa wanataka watu 27 ila oral wakaita watu 248 cha kushangaza jana wametoa mkeka wameandika walio fanya interview kuanzia mwez wa 9 mwaka 2024 hadi 21 mwezi wa tano mwaka 2025, na wameita watu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Oral
  6. H

    JamiiForums Tanzania Polisi, Uhamiaji na Wanausalama wengine Tizameni hili kwa jicho la Tai

    Roho mbaya tu hizo kwani wakivuka huku utapungukiwa nini? Mbona waarabu wanashikilia bandari kuu ya Taifa na hujui hapo wanavusha nini, yani unamnyima mtu kutoka rwanda na burundi kuja kujitafutia? Hiyo ni chuki mbona wazanzibar wanashika utawala nchi nzima na hamuongei kijana acha unafiki...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    mm wameniselect mkuu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Interviews za MDA

    sawa sawa mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Interviews za MDA

    Jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral. Nauliza kama oral pia inafanywa online?
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    wapo
  11. H

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

    sawa sawa mkuu
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    awe mchumba wangu
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
  14. H

    JamiiForums Tanzania Binadamu tuweni na huruma kwanini unitapeli hadi mimi yatima jobless kabisa

    daaah wakuu kuna mtu kanifuata inbox kaniambia ni HR wa kampuni mpya ya kutengeneza juice ipo chalinze akaniambia nimtumie vyeti nikamtumia, akaniambia kwenye vyeti vyangu kuna sehemu ambapo muhuri wa mwanasheria haionekani, hivyo ana mwanaaheria wake ataniconnect naye anipigie muhuri...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wakuu hata kazi ya bure hamna?

    hapana mkuu
Back
Top Bottom