HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Eeh jamn Electrical Engineers tupeane mchongo jamn huku tunasubir placement maana hali tete niko dodoma hapa aliekua huku tusaidiane
dahh engineer kumbe upo kalibu kabisa na bwawa la asali.yaani apo wakitoa pdf tu unawapigia hodi.. 🤣 🤣
 
Placements za watu waliofanya usahili mwezi 4 onwards zitachelewa. Bungeni ndo kwanza wanajadili budget za wizara, budget zipitishwe, pesa ndo zitolewe then ndo mtaitwa kwenye placements maana mishahara yenu inatoka humohumo kwenye budget. Na mwaka mpya wa fedha unaanza nafikiri katikati au mwishoni mwa mwezi wa sita. Huu ni mtazamo wangu, kwaiyo placements kutoka ni baado !!!!
Si kweli mbona mwaka jana pdf za kutosha zilitolewa mwezi wa 5. Na ya mwisho ilitolewa tar 24/5/2023
 
Back
Top Bottom