Recent content by Hussein Mustafa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaji Warioba kuunguruma leo ITV

    Kila nikiangalia tume ya warioba nakosa hata mtu wa kumtoa kasoro ilivyokuwa imesheheni watu wenye weledi na wakereketwa wa ccm, hebu tujiulize ni nani leo anaweza akasimama ndani ya ccm kujilingalisha na Warioba, Jaji Augustino ramadhana, Salim, Marehem Mvungi, Mwesiga baregu! tuseme wote hao...
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why are you still Single?

    I believe God is very busy writing the best love story for me! that's why I'm still single.
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya mwanamke kulia siku ya harusi yake.

    Kipindi kile nahisi kulikuwa na mambo 3 wanayahofia, 1, Ni uchungu au Furaha kwa kupata mdusherere wa kudumu, 2, Furaha kuanza ku-Do mfululizo, 3, wengine walikuwa wanaogopa fedheha kwa kuwa si bikra!
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

    Kweli nimeamini maneno ya mama yangu kuwa ndoa nyingi za siku hizi wanawake wanaolewa si kwa kuwa amepata mume aliekuwa anampenda bali ndoa zinakuja kama ajali! Kuwa makini sana suprise katika maamuzi yako, marriage is not a trial and error!
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Chai chungu saa ngapi unaendelea nataka niombe ruhusa kabisa kwa mke wangu kwamba leo nina udhuru ntakuwa bize na cm i mean ntakuwa kwenye call meting!
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yetu limbukeni anatuboa

    Ukiona kabila ambalo watu wake wako radhi kuandaa ngoma for a millions on money halafu mtoto wao haendi xcul kwa kukosa ADA ujue lina matatizo! kuna mtu aliwahi kuniambia huwezi kukuta Mdengereko tajiri ila huwa wanapata tu nafuu ya maisha! maybe tunaweza kupprove, kaka kazi unayo kwa hao watu...
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Chai Chungu ile story ya yule demu wako wa kinyaturu hivi iliishia wapi vile? leo naona umekurupuka na mada nyingine[
  8. H

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Hivi ndio tuseme viongozi wote wako busy kwenye sherehe za ushindi wa G.Lema....? Hamna hata wa kuwakanya vijana hawa huu ujinga wanao ufanya utafikiri kama hawana pa kwenda kusemea haya mambo yao.....Kaongeleeni Lunch Time mlipo kutana myamalize kama mlivyoyaanzisha....This ia Home of Great...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Kwa mambo haya mbona kama utabiri wa Wasira unataka kutimia.....CHADEMA HAITAFIKA MWAKA 2015!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Hongera Nassari nenda kafanye kazi tuliyokutuma sasa, wananchi tumeanza kuelewa sera zenu na hatutaki tena matusi ya CCM
  11. H

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    hivi huyu ndio mlisema alitangaza nia ya kugombea kweli urais au walimzushia au hakueleweka vizuri!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Baba Kikwete Jiuzulu Kulinusuru Tanzania!

    Kuna jamaa mmoja alinipigia simu akasema ikitokea ukasikia msafara wa Rais umelipuliwa na ukapiga simu yangu haipatikani basi ujue nimehusika! Hii ni kuonyesha jinsi gani watu wamechoka na huyu janga aitwae JK!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ujumbe wa madaktari bingwa wako njiani kwenda kumuona rais Kikwete

    Mi nataka kuhamia Darful kwa muda kuepuka haya maudhi ya watawala!!!!!!!!!!!!!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba Zitto na Makamba wanawahurumia watanzania, wana ajenda zao

    Huyu mtoa mada nae ni janga jingine! msameheni bure hajui alitendalo
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete bingwa wa safari kuliko Marais wote duniani

    Hili ni janga la kitaifa, Hivi hamna njia yeyote tunaweza tuakaitumia kupunguza miaka yake ya kuongoza walau aishie tu mwezi wa sita mwaka huu tufanye uchaguzi!
Back
Top Bottom