Recent content by humphrey_on_th_forum

  1. humphrey_on_th_forum

    ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Huyo ChatGPT mwenyewe hajazoeleka bado na tayari ameshapata wapinzani wake kina Deepsek na wengine wengi. Je, huoni baada ya miaka 5 hadi 10 ijayo patakuwa na maarifa tofauti na bora zaidi ya hizi akili mnemba? Huu ni mwanzo tu, maarifa kamili ni kwa karne zijazo mtumishi wa Mungu.
  2. humphrey_on_th_forum

    Moja kati ya mikataba mibovu kuwahi kutokea

    Hello team, Moja kwa moja kwenye mada. Binafsi nimeshuhudia mikataba inayoandaliwa na wamiliki wa nyumba za kupanga wakiandaa mikataba ambayo ni mibaya, kandamizi na yenye kukomoa utadhani wamelazimishwa kupangisha vyumba. Je, wizara inayohusika na makazi, kwa nini isiingilie kati suala la...
  3. humphrey_on_th_forum

    GE2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Kwa siku hizi kumi tu kwa Tundu Lissu, toka tume ya uchaguzi na jeshi la polisi kuingilia kampeni zake, imenibidi nisome maandiko haya matakatifu: Yesu Aulizwa Kuhusu Mamlaka Yake 27 Wakafika tena Yerusalemu. Wakati Yesu alipokuwa akitem bea Hekaluni, makuhani wakuu, walimu wa sheria pamoja na...
  4. humphrey_on_th_forum

    Application inayoweza kurekodi stock, mauzo na faida

    InventoryPlus Ver 2.0.0.14 Thanks me later:)
  5. humphrey_on_th_forum

    Wale Tuliosoma sana O-level tukapelekwa shule za Vipaji, Huko Nature ikatuchagua

    Wengine tuliita ku - differentiate constant[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
  6. humphrey_on_th_forum

    Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

    Yani nimeupitia huu uzi mpaka najihisi kama nishaanza kulipwa, shukrani sana bro Nafaka kwa uzi mzuri. Ngoja nianze kupractice Sent using Jamii Forums mobile app
  7. humphrey_on_th_forum

    Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

    1. Lerang'wa primary(arusha), 2. Lyamungo secondary(kilimanjaro), 3. Arusha day secondary(arusha), 4. Bagamoyo high school(pwani). Sent using Jamii Forums mobile app
  8. humphrey_on_th_forum

    Msaada wa Installation ya Microsoft office

    http://ekhayasoftware.blogspot.com/2018/10/microsoft-office-2019-free-download.html Jaribu hiyo hapo naona package zao zipo vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. humphrey_on_th_forum

    Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

    Mbona ni best yangu kitambo, juzi yenyewe nilikuwa nachat nae labda ndio akakumbuka masuala ya Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. humphrey_on_th_forum

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kama umeme umekatwa baada ya kuchelewa kulipa, umeme utachukua muda gani ili uwashwe tena baada ya kufanya malipo(bill+penalt fee)? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom