Recent content by Hulbjd

  1. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari kabla ya kulizwa

    Kuna mchezo umeanzizwa kwenye mtandao wa kuuza na kununua vitu huu mtandao ni maarufu sana. Juzi ametoka kulizwa mtu na hao matapeli wanatumia namba ambayo haionyeshi jina na inapiga kazi hadi sasa.. Nawashauri watu wanaotumia mitandao kuuza vitu vyao wawe makini sana na hao watu kwani...
  2. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

    Hii redio itakuja kufa kifo cha mende.. Huu ni mwanzo tu baadae wasanii wote watawachukia kwa UBAGUZI WAO.
  3. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani House girl akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao?

    Mimi sioni mbaya kama kuoa au kuolewa wafanye maandalizi ya ndoa tu
  4. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Kwa kukuongoza 2015
  5. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Sina comment hapo.. Chadema 4rever
  6. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Sasa hapa dr ni nani maana naona kama sioni jibu lililo sahihi
  7. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Hakuna Mungu wa mambo ambayo si mema....ahsanteni kama mmenielewa.
  8. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Kama darasa

    Asante sana Baba v
  9. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Kama darasa

    Nimependa sana hii web,, na nimejifunza mambo mengi sana wakuu, kwakweli mchango wenu ni muhimu sana, nawaomba tuzidi kusaidiana
  10. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Dah kwakweli Mungu awabarikini sana wakuu.... Yaani hambagui mtu kwakweli .'na endeleeni na moyo huwo huwo
  11. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Chenye mwanzo kina mwisho .'na mwisho wa ubaya ni aibu
  12. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania msaada:mobile tv

    Mambo ndo haya
  13. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Akohi nakushukuru sana mkuu
  14. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Natumia nokia ..ngoja nijaribu mkuu
  15. Hulbjd

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Kaka unadownload vp maana kidogo sijakupata
Back
Top Bottom