MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia} | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hulbjd, Aug 5, 2012.

 1. Hulbjd

  Hulbjd Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni njia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashindwa kwa kutumia simu yangu ya mkononi.
   
 2. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Kwanza lazima uwe na net ktk cmu yako pili download TUNEIN then install halafu search local radioas...chagua unayotaka then play
   
 3. Hulbjd

  Hulbjd Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Kaka unadownload vp maana kidogo sijakupata
   
 4. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Ktk search ingine yoyote mf google.
  Type: free ddownload tunein then click search. Ikija download then install.

  Unatumia cm gani au ni laptop/pc? Kama ni smart phone basi ni rahc zaidi
   
 5. Hulbjd

  Hulbjd Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Natumia nokia ..ngoja nijaribu mkuu
   
 6. Hulbjd

  Hulbjd Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Akohi nakushukuru sana mkuu
   
Loading...