Mufti huyo na wenzake BAKWATA wanategemea ruzuku kutoka CCM wataweza ?
Hakuna shughuli yoyote ya kiuchumi iwe ni shule, vyuo, hospitali, majengo, viwanja, wakfu, mfuko wa zaka na mengineyo kama hiyo ambao jamaa hao wameweza kuanzisha na kuiendeleza bali wao ni kula, kula, kula tu nani...