Recent content by hubiri b

  1. H

    JamiiForums “spana” muhimu katika uhandisi tovuti

    udom wanafundisha software engineering
  2. H

    JamiiForums Naomba msaada wa AUDIO DRIVER ya COMPAQ ambayo iko supported na Windows 7!

    Fungua website ya hp, utapata iyo driver unayhitaji mradi uwe unajua model ya computer yako
  3. H

    JamiiForums Natafuta kazi jamani

    Inawezekana alisoma diploma kisha akafanya kazi, baadae akasoma tena bachelor
  4. H

    JamiiForums how do i use WLAN on my phone

    Inabidi ukonnect hiyo wireless network thn ur ready to go....
  5. H

    JamiiForums Airtel waja na MF180 ZTE Modem

    Ngoja namimi niitafute iyo
  6. H

    JamiiForums MSAADA JAMANI(Software for Technical Drawing)

    Mkuu nadhani autocad inaweza ikakusaidia..... kama upo dar unaweza ukawasiliana na mimi ili nikupe na video tutorial za namna ya kutumia
  7. H

    JamiiForums quick way to save a webpage for offline viewing (i.e. to read the webpage later)

    Mkuu iyo njia unayoifaham ni yakusave webpage moja.... lakini ya kwake ni yakusave website nzima af unabrowse ata ukiwa offline... kuna software inatumika kufanya iyo kazi
  8. H

    JamiiForums Nijuze kuhusu software

    kama unatumia mozilla firefox jaribu kuadd add-ons, nenda kwenye tools,thn add-ons halafu search for dwhelper,youtube downloader, au tumia generic keyword video downloader.... Ila kwa ushauri wangu kwanini usitumie hiyo hiyo internet dowload manager (idm) ni nzuri sana coz inadowload kila aina...
  9. H

    JamiiForums Web hosting

    nenda kwenye website ya ucc http://www.ucc.ac.tz utapata na gharama zao
  10. H

    JamiiForums Free airtel internet kwenye pc na kwenye simu

    Inabidi kabla ya kupost kitu uwe umeshakijaribu mwenyewe kama kinafanya kazi....
  11. H

    JamiiForums Free airtel internet kwenye pc na kwenye simu

    Spidi ya gpsr ni ndogo sana ukiwa unatumia computer
  12. H

    JamiiForums Zantel freeee internet access at 0 shs

    Bado inafanya kazi au washaishtukia???
  13. H

    JamiiForums msaada mwenzenu bundles zinaisha haraka..

    Jaribu kuinstall AVG internet security yenyewe itakua inakuletea meseji appliation yoyote inapotaka kuaccssess internet kisha wewe utaua unablock.....
  14. H

    JamiiForums How to use JamiiForums effectively

    Thanks a lot
Back
Top Bottom