“spana” muhimu katika uhandisi tovuti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

“spana” muhimu katika uhandisi tovuti

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Oct 31, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Fani yeyeote ya uhandisi inahitaji matumizi ya nyenzo. Tunaweza kuzua mjadala kama je kutengeza tovuti nayo ni taaluma ya kihandisi.????? I think so sijui wewe…. Tuache huo mjadala lengo hapa Ni tujadiliane "spana" nyenz na vitendea azi mbali mbali vya kuhandisi au kutengeza tovuti au mtengenza tovuti anatakiwa kuvijua.
  Web developer
  [​IMG]
  Ni moja ya "mkoba" wenye nyenzo mbali mbali nani yake zinazowezesha
  mtu kutengeneza au kurekebisha vitu kadhaa kwenye tovuti. Iwe unataka kujua taarifa za tags zinazotumika kwenye tovuti au wapi picha zinazoonekana kwenye tovutii zimehifadhiwa.Vile vile kwa kutumia wedeveloper adon unawezaa kuelewa mambo ya CCS, kujua jinsi taarifa za font , backgrun na element mmbali mbali zilivyokuwa kuwa styled katika ukurasa kuufanya uonekane ulivyo . Rrowser za chrome na firefox ndio zina addon ya Kuruhusu kusimika nyenzo hii


  Fire bug

  [​IMG]
  Binafsi sijautumia sana hii spana lakini review za wataalm mbali mbali mtanadaoni zinaonyesha"spana" hii ni inauwezo mkubwa na muhimu zaidi kuliko hata webeveloper. Zaidi ya kufanya yote yanafanywa na nyenzo ya web developer, firebug inawezesha designer/developer/ Engineer wa web kudebug matatizo kama ya CSS na XHTML. Hii ni nyenzo nzuri zadii ya webeveloper lakini inahitaji muda mkubwa kuimudu na kuielewa vizuri.


  ColorZilla

  [​IMG]

  Mvuto wa tovuti moja ya lengo la dsinger yeyote. Na uchaguzi wa rangi za web si rahisi i kwa mtu kukariri sababu code za rangi zina mchanganyio wa herufi na number. Spana hii ya colour inamrahisihia mtu kuchagua rangi na yenyenye inaleta code ambazo ndio mhadisi tovuti atatumi katika kujenga tovuti  Nimetaja "spana" chache lakini naamini kuna spana nyingine nyingi . Kitu kimoja kinachoipa sifa Mozilla tofauti na browser nyingine ni sababu ya kuwepo na "spana" au nyenzo kama hizo kuwasaidia na kurahissiha kazi ya developer na wahandisi wa kujenga tovuti. Baadhi ya nyenzo nyingine muhimu kwa wahandisi tovuti ni HTML validator, SEO doctor.  Karibu tuhabarishane, tuelimishane na tujuzane spana na nyenzo mbali mbali katika mambo ya uhandisi tovuti.

  Makala hii inapatika pia kwenye gym ya mtazamaji
   
 2. HT

  HT JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  gEdit+plugins=power to developer. Kama una MacOSX then TextMate plus bundles. Windows Notepad++ and plugins. DB design MySQL workbench kwa MySQL. Kama unataka kwenda heavy, Netbeans, Eclipse PDT, Aptana studio for free na PHPEdit, Zend Studio, PHPDesign (No DW hahahaaa!)
  kwa web design, firebug ni must kama ilivyo xdebug kwa development. Kama unapenda UKNUK tafuta Kompozer/NVU au kama mlevi wa Adobe DW. Netbeans ina limited capability.
  <kelele>
  sijaelewa kama uhandisi tovuti unamaanisha ni web design au development. Kiswahili ni lugha ambayo bado mwanafunzi wa primary. Btw, software engineering (nisaidie kiswahili chake) ndio field inayokwalify ktk engineering lakini web dev/design deektop dev/design et al ni part za SE.
  </kelele>
  my 0000 0000 0000 0010 Cents
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hossana nadhani huku Tanznaia mmajukumu yetu hayatofautini au hayatenganishwi sana kama nchi zilizoendelea. mtu anaweza kujiita web desiner lakini 80% ya kazi zake ni za web development. Yaani sisi huku tunachanganya tu designing na development kama field moja. ila Kwenye process ndio utajikuta inabidi ufanye maamuzi ya designing baadae uje kwenye development. Sijui kama niko sahihi

  Kuhuus engineering namaanisha
  Requrement analysis, requirement specifation, desgn and development(Impliment). To me ukitumia methodology yeyote katika system development basi itakuwa ni engineering. Am I wrong.?


  BTN
  hivi ni editor gani nzuri ya PHP kwa mtu amabye ni intermediate au ana avarge competency.
   
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  As kwa software engineering, unahitaji qualification gani kuapply? (from beggining eg o level requirements, a level, etc)
   
 5. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  I think web development using "LAMP" - Linux operating system, Apache HTTP server, MYSQL database and Perl/PHP/Python is the most appealing platform nowadays.   
 6. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  You don't need to go to school, start from here:
  [h=3]SEMAT: Software Engineering Method and Theory[/h]
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 8. R

  Ramadhani Juma Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nataka kuwa Computer Programmer what can i do?....
   
 9. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Netbeans ina limited capability zipi hizo?,au unatumia versions za zamani?,sasa hivi wameadvance toka version 6.9.1 to 7.0 ?.To me ndo the best editor naitumia na kubuntu
   
 10. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Programming huanza na problem,mfano unataka kujumlisha namba mbili,au unataka kutengeza program inayoweza kucontrol traffic lights kwenye njia panda,au unataka kutengeza program ya kusolve quadratic equation, lazima ujue solution path(njia),kitaalamu inaitwa algorithim,from there

  Rule no.1..You need to know programming languages(JAVA,C,C++,VB,PERL,PYTHON,...) na application zake,kwenye programming languages flow of logic huwa ni moja kinachobadilika ni syntax tu.So make sure unakuwa competent kwa walau language 2 au 3.

  Rule no.2..Jifunze Operating systems za aina tofauti-tofauti hasa linux,kwa sababu code zake ni open source.

  Rule no.3..DONT FORGET RULE NO.1
   
 11. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Entry qualifications inategemea na chuo husika, Lakini katika level yoyote unaweza kujifunza. Vyuo vingi vinaweka emphasis in maths. Interest and if love it will make you survive!
   
 12. HT

  HT JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtazamaji,
  unaweza kuwa web dev usiwe designer au vice versa au vyote. Kuwa software engineer ni kitu kingine. Ni zaidi ya design au dev pekee. SE inajumlisha design, implementation na maintance ya software whether ni web au desktop. Hapo ndipo issue za design patterns, implementation methodology, security concerns et al zinapoingia. So you are right somehow.

  Editor nzuri kwa ajili ya programming, PHP included, depends on OS. In Linux you can use either Geany or gEdit for gnome or kate for KDE. I prefer gEdit plus few plugins. In Mac you have TextMate and in windows you can choose between Notepad++ or Geany. Not sure if Geany is available for Mac but there is coda as alternative.
  If you want heavy stuffs, you can use Eclipse with either PDT or Aptana studio. I prefer the later. Netbeans is another very good option. Both runs on Java so can be installed in windows, Mac and Linux
   
 13. HT

  HT JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  HTML UKNUK (WYSIWYG). Btw NB ni IDE sio editor!
   
 14. HT

  HT JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mh, sidhani kama hapa kwetu hii kitu tunayo. Naona vyuo vingi vinafundisha general ICT
   
 15. h

  hubiri b Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  udom wanafundisha software engineering
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  tunapoongelea sofware engiinering tunamaanisha nini na tofauti yake tofauti yake na field nyingine za engineering ni nini
  Sasa Ian Somrovile Akasemaje what is actually sofware engineering
  Ndiyo maana mimi nadhani engineering wneye IT sio lazima iwe ya sofware inaweza kuwa Ya Web engeering, network engiinering


  Keli Inawezekana wnafundisha Information system Engineering . na sio Softtware engineering teh teh teh. Neno engineering linavutia lol
   
 17. HT

  HT JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtazamaji,
  there is ni web engineering nor network engineering! Web involve software and network communication involve software. So software engineering is all about software like chemical engineering is all about chemicals!
  Network on hardware/pseudo software is part of Telecommunication engineering!
   
 18. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wote bado hamjanijibu. HOW DO I START ON MY WAY TO S.E?
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hossana
  Web and Network can be viewed as enginrerring .Kwani ukisema Sofware engiineeri ering wht specifiicaally does it mean ?

  Waht I know na kwa definition ion ya hapo juu Engieering Kifupi ni set of rules methodologies, techniques, standards and approach zinazotumika kutatua tatizo. na kupata quality product within some constraints ( Time, Money)

  Sasa ukisema mambo ya Networking au Web hayawezi kuwa enginering nakuwa sijakkupata. Laini inawezeana sababu watanzania wengi hatufuati na hatupendi mambo ya docuentation na kufuta process . lakini wa mtu anyefuata formalities na principle basi hata project ya web na Network ni engineering
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  1.
  • u need to Know Information system devepolpemt procees , tools used , methodologies, ther differences advantages and disavavantage
  • U need to know standards used and tools used at each stage from Analysis to problem specification or requirement specification to Testing,and verification to Implementation at winch wich is u must know at least one language for implementing solution . things like DFD, Use case diagram, ERD etc should be bread and butter to you
  • U need to know Software project management, time management. How productivity of team can be measured in software project
  • etc etc
  In short ingawa hii kitabu ni cha zamani kiogo kinaweza kukupa mwanga kutokana contents zake nini unatkiwa kugusia au kutafuta. Kitabu kinaitwa Software Engineering A uthor wake ni Ian Sormoville. May be wataalam watakupa vitabu latest

  Ukisha jua general knowldege then unaweza kuspecialize kwenye eneo moja la sofware engiinering either kweye Testing, au kwenye designing au kwenye developing(coding) au kwenye UI na quality. lakini kibongo bongo ndio unacheza kote kote yaani unagusa pote pote bila kuwa deep. popote teh teh teh
   
Loading...