Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,459
Airtel wameamua kuwapa tenda wapinzani wakubwa wa Huawei yani ZTE kuwatengenezea modems. Duuh... thanx to god ile temporary unlock ya huawei e153 ilikua inaboa thanx tu ZTE ambao hawataki shida ukiwa na dashboard nyingine ya ZTE kama Smartbro na ZTE Join Air basi ww tumia laini yako yoyote ile kwa hizo types of modems.