how do i use WLAN on my phone

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
11,009
2,921
wadau natumia simu ambayo inasapoti WI-FI. Sasa niko sehem ambayo hii wireless local area network is detected on my phone (e72). Sasa how to go about surfing the net via this WLAN?
 
kuna njia nyingi ya kwanza ni bonyeza menu then connectivity then tafuta wlan ukiipata bonyeza option utaona pameandikwa start browsing then click itakuredirect kwenye built in web ya simu

pindi ikikudirect simu automatic inatengeneza access point ya hio wireless in case hata kama ni ya key next time haitakuuliza key

so kama umepata access point ya wlan yako unaweza tumia applicatiom kama opera, ucweb whatsap kwa hio access point.

Kama unaona unapata tatizo la simu kukumbuka wireless access point ujue signal za hio wireless zipo low
 
nimejaribu kutumia na inafika hatua inahitaji network name. Hapo nakwama kuendelea. Pia sijajua how naweza tumia browser kama opera bila kulazimika kutumia built in
 
Hiyo access point imefungwa na password sio free access ukitaka ifunguke lazima ujue jina lake na password
 
Back
Top Bottom