Zantel freeee internet access at 0 shs

ebwana e2themeza ka vpi delete hii thread manake as mentioned above hao jamaa wanaingia huku so toa this thread 2faidi wachache...la sivyo they gonna roll the curtain while the show hasnt even started yet..
acha roho ya kimaskini wewe watu kama nyinyi hamwakumbuki hata watu wa kijijini kwenu....ubinafsi tuuuu...sasa kama angekauka nayo hii kitu we ungejuaje...mijitu mingine bwana
 
we nawe masaburi yanakuwasha cjui..that's why i told him to wait for a day and then aitoe,sasa chizi kama wewe unajiita bosi mara useme e-mail unasomewa na secretary afu mara unataka net ya bure....<<vommiting>> u were saying?
 
acha roho ya kimaskini wewe watu kama nyinyi hamwakumbuki hata watu wa kijijini kwenu....ubinafsi tuuuu...sasa kama angekauka nayo hii kitu we ungejuaje...mijitu mingine bwana
afu lina post 7 tu tangu liijue jf 28 april, u were figuring a way to post all that long huh? or ndo mpaka SECRETARY akufungulie???
 
msiilete humu mambo yenu inaonekana mnataka rushwa kama ccm ndio mfanye kazi lol
 
Nilijaribu hii kitu inafanya kazi ndani ya dakika 3 baada ya hapo inasinzia fofo
huh? U mean spd inapungua au? Coz been usin it for da past almost six month haijazingua ata one time. Yah speed sio yakuridhisha kwa kudownload only 12KBps lakini kwa kusurf its fast.
 
Siyo speed mkuu, bali baada ya kutumia kwa dakika 3 net hamna tena japo ipo connected..... Chochote utakacho fanya kwenye browser hai-load page tena.
 
ok nadhani kuna kapengele labda uliruka kama ulifuata procedure zangu 4rm da begining. Lakini ina weza kuwa cozd labda iyo server ya your-freedom iko down wakat huo. Au hauja install open vpn kwa umakini zaidi ni hili tatizo litakukumba if runing win 7 kama haujairun kama admin italeta shida kdg. Or change server to this one: ems16.your-freedom.de
 
Wakuu
wakuu ntajibu pm zenu
umeme ukirudi
umekatika nw leta
ntawapa wote
maujanja!
 
ok nadhani kuna kapengele labda uliruka kama ulifuata procedure zangu 4rm da begining. Lakini ina weza kuwa cozd labda iyo server ya your-freedom iko down wakat huo. Au hauja install open vpn kwa umakini zaidi ni hili tatizo litakukumba if runing win 7 kama haujairun kama admin italeta shida kdg. Or change server to this one: ems16.your-freedom.de

Mkuu, os nayotumia ni windows 7, nimegundua kule kupata access ya dakika tatu ni ya zantel yenyewe na siyo kutoka server ya Your-Freedom....

Naomba kama unaweza kunitumia malekezo yale ya mwanzo kwa kutumia email- unclerukusjf@gmail.com
 
OK yah ilitatizo lipo yes la kudisconnect kila mara na njia ya kugo around it pia ipo subiri nakutumia maelezo thru pm tu
 
Nasubiria PM yako mkuu.... Vipi PM pics zitaonekana kweli? maana nahisi uenda kuna step niliruka.
 
Back
Top Bottom