Kijana msomi, umri kati ya miaka 25-35 nje ya mfumo wa ajira wanakumbana na kejeli na dharau kutoka makundi yote ya jamii.
Kisingizio Cha kwamba hawajiongezi huku wakilinganishwa na wenzao wachache ambao ama kwa bahati au sababu zisizo wazi wamefanikiwa.
Interview ya Mch. Richard Hananja na...
Familia... sijui agenda Yako halisi nyuma ya Uzi wako ila kama Nia ya kweli ni nikipata uelewa basi usije kwenye game na matokeo Yako mfukoni.
Yohana 3:16
Inaeleza juu ya mission kwajili ukombozi kwa wanadamu waliopotea ( watenda dhambi) si ajabu ikawa ni Mimi na wewe.
Ilikufanikisha hii...
Mungu ni mmoja katika nafsi tatu.
Mungu Baba
Mungu mwana(Yesu)
Roho mtaktifu (msaidizi wetu)
Hakuwa Mungu mara tu baada ya kupaa..hapana, yeye ana uungu kabla hata ya kukubali kuuvaa mwili na kuzaliwa na Bikira Maria.
Msingi wa Imani hii ni tuamini katika Fumbo la Imani.
Kwenye maisha naendelea kujifunza maana kila siku ni ukurasa mpya unaojazwa na unayokutana nayo siku hio.
General Lesson so Far...
Kila mtu ana picha yake tofauti kuhusu wewe, huenda kwa kusikia, kuona picha yako au kujumuika na wewe Moja kwa Moja.
Hivyo usipoteze nguvu zako...
Watu wanatumika kama daraja kukufikisha mahali lakini sio kubadilisha maisha Yako Moja kwa moja. Wewe ndio unaweza kubadili.
Kuna watu Jf wanaweza kuaminika na kuleta tija ki-mawazo na ki-field operation pia. Kaka Monetary doctor hapa ni kwako, una kitu.
Hongereni, ni jambo la kumshukuru Mungu .
Mzee wako aliapply kanuni ya kiusalama nyikani/porini. R I P.
Ipo hivo ndiomana tunasahuriwa ukihisi ubaridi wa ghafla sehemu fulani ya mwili basi usikurupuke, kaza. Huyo ni nyoka ataondoka na kama umelala basi inahitaji moyo na uvumilivu kidogo...
Kuhusu harufu ni sahihi kabisa, kitaalam inaitwa adrenaline hormone. Hio huzalishwa nyingi pale mtu unapotaharuki wakati wa kukabili changamoto ya papohapo.
Ndimi mbili anazotoa nje nyoka ndizo hu-sense hio harufu na taarifa hiyo kutafsiriwa na 'Jacob's organ' iliyo sehemu ya juu ndani ya...
Nimetoka muda si mrefu hapo. Kigamboni upepo wa bahari unawapa raha sana. Mwigulu awaangalie nanyi muongezewe kodi.😂😂 Joke.
Niliambiwa marafiki utakaanza nao chuo ndio hao utamaliza nao. Hilo nimeprove.
Familia Yako kwa maana ya mke na watoto ndio watu wako muhimu zaidi.
Ni sahihi kabisa...
Umeandika kwa hisia sana na nikawaida kabisa ukiwa ndani ya Hali hio kujisikia hivo. Umenikumbusha uzoba wangu kwa Recho.
Speaking from experience Fanya yafuataya.
Andaa saikolojia Yako kwamba umeshapigwa chini hata kama hujaambiwa rasmi. Hii inakusaidia kujitreat kama single at the moment...
Fika ofisi ya NIDA iliyokaribu na wewe. Waeleze watakusaidia.
Kama ID unayo au umepoteza na una loss report watakusaidia fasta hatakama ni nje ya ulipo jiandikishia
Sasa wewe hujachukua. Kama uwezo wa kukifata unao basi kifate kisha nenda nacho NIDA ofisi yoyote. Wanatumia hiyo ID...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.