secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,167
- 28,201
Ulibweteshwa na utajiri wa mpito, siyo?Nipo kiongozi nimetoka kufukuzwa kwenye kazi ya kubeba zege hapa, mafundi wanasema niko taratibu sana hivyo nawachelewesha.
Ulibweteshwa na utajiri wa mpito, siyo?Nipo kiongozi nimetoka kufukuzwa kwenye kazi ya kubeba zege hapa, mafundi wanasema niko taratibu sana hivyo nawachelewesha.
Ndiyo mkuu sikuwa napiga hata tizi kipindi cha utajiri wangu, hii kutafuta hela kwa kutumia nyama damu na mifupa (bila kutumia ubongo) ni ngumu mno.Ulibweteshwa na utajiri wa mpito, siyo?
Just to disturb huh😊
Mkuu hiyo ni ngumu lakini sisi tumeshazoea.Ndiyo mkuu sikuwa napiga hata tizi kipindi cha utajiri wangu, hii kutafuta hela kwa kutumia nyama damu na mifupa (bila kutumia ubongo) ni ngumu mno.
Pamoja mkuuMkuu hiyo ni ngumu lakini sisi tumeshazoea.
Inauma, itabidi uzoee!
Kidogo kidogo utazoea.Pamoja mkuu
Nakubali Blood ✊🏿✊🏿
Karibu 😂Nataka au nina mpango wa kuja kukuteka
Yeah😂Just to disturb huh😊
Nakuja soon ni bora tuonane live live mkuuuKaribu 😂
Naam Smart wa mama.....
Karibu... Nikuchokoze...Naam Smart wa mama.....
😁 nipo tayari hapaKaribu... Nikuchokoze...
😂Refa nikijiandaa kukwepa ngumi za Intelligent businessman na Half american baada ya kupata taarifa kwa dosho12 kuwa mabondia Wana matatizo ya machoView attachment 3393600
Hili pambano n batili, muda wa mazoezi sio rafiki.min -me Dr am 4 real PhD Chick_tz bila kuwasahau mabondia watakaozichapa jumapili hii Intelligent businessman na Half american.
Harmful atakuwa refa katika pambano Hilo.
Monetary doctor weekend ni ndefu sana hii😂