Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra.
Tanzania imepata bahati nyingine ya...
Suluhu itakayoafikiwa haitafuta historia ya maamuzi yaliyoamuliwa na tume inayoaminika kuwa ni huru ilhali maamuzi hayo nikama yamepokelewa kwa furaha na upande mmoja! Nani anawajibika na dosari zisemwazo? Tungependa kuona utumbuaji wa jipu hilo uliopelekea kutumika raslimali za taifa bure
Hoja ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa visiwani ni udhaifu wa mipango ya shetani mbele ya ukweli ulio dhahiri.
Shetani anapo panga mbinu zake za uongo zinazompa faida ya muda mfupi huwa anasahau baadhi ya point ambazo zinakua kama cheche ziwezazo kulipua moto wa ukweli mbeleni.
Vizazi...
Hoja ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa visiwani ni udhaifu wa mipango ya shetani mbele ya ukweli ulio dhahiri. Shetani anapo panga mbinu zake za uongo zinazompa faida ya muda mfupi huwa anasahau baadhi ya point ambazo zinakua kama cheche ziwezazo kulipua moto wa ukweli mbeleni. Vizazi...
Kwa bahati jana niliona post yenye link za materials kwa njia ya video, Ila leo nimetulia ilinizifuatilie sizioni tena. Tafadhali aliyeweka au anayejua zilipo anijulishe pls!
MuHAndishi ukipata wasaHA mwingine tafadhali utumie vizuri kwa kula au kulala ukue, kuliko kujitaHAbisha kuandika 'makala' ya upuuzi, umbea, majungu na mipasho isiyo na maana!
Tanzania NInayotaka inahitaji dikteta mzalendo ili Ifike huko. Dikteta atakayeweza kufutilia mbali vyama vya siasa na chaguzi za kinafiki za kila baada ya miaka mitano. Atakayeweza kuondoa mzigo wa utitiri wa viongozi wasio hitajika wanao jineemesha na kodi za walalahoi. Atakaye onea uchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.