Hotuba za Mnyonge
Member
- Jan 5, 2014
- 23
- 8
Hoja ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa visiwani ni udhaifu wa mipango ya shetani mbele ya ukweli ulio dhahiri.
Shetani anapo panga mbinu zake za uongo zinazompa faida ya muda mfupi huwa anasahau baadhi ya point ambazo zinakua kama cheche ziwezazo kulipua moto wa ukweli mbeleni.
Vizazi vijavyo vitahoji bila woga: iweje uchaguzi mmoja uwe na matokeo yafaayo na matokeo yasiyofaa?
Agenda ilikua nini? (HII NI AIBU INAYOKUWA NA KUONGEZEKA KADRI MUDA UNAVYOENDA).
Mungu wa Amani, tunaomba uvinusuru visiwa vyetu, uibariki nchi yetu, amina!

Last edited by a moderator: