Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Haya Mshana Mpangawangu umejiunga jana tu
Na kutumwagia Makala kali ya maisha ya Member wa humu JF na KUB na Mbunge waq Hai SIJUI??????
 
Last edited by a moderator:
hebu badilisha mtiririko wa maandishi kama inavyotakiwa,tofauti na hapo itasomeka kama shairi.Hata kama ni copy & paste kuedit huwezi?
 
hebu badilisha mtiririko wa maandishi kama inavyotakiwa,tofauti na hapo itasomeka kama shairi.Hata kama ni copy & paste kuedit huwezi?
Mods wanaweza kumsaidia ili isomeke vizuri
 
UNAFIKI WA MHE. MBOWE KATIKA
MAMBO MUHIMU
Kwanza kabisa napenda kuwashukuru
wale wote ambao walitumia muda wao
kupitia na
kudurusu makala yangu iliyokuwa na
kichwa cha habari kisemacho "
WATANZANIA TUITAZAME
CHADEMA KWA JICHO LA TATU"
Makala hiyo ilichapwa tarehe
12-02-2014 siku ya jumatano.
Ni makala ilichangiwa na watu wengi
na kupokea maoni na ushauri kuliko
makala zangu
zote ambazo nimewahi kuziandika
hapo nyuma. Ila waswahili wanasema
kuwa "kwenye
wengi hapakosi jambo" hivyo nilipokea
maoni tofauti na ushauri lakini pia
nilipokea maneno yenye lugha chafu ila
nimechukulia kama changamoto za
walimwengu tu.
Mimi nasema kuwa wale wote
waliotumia lugha chafu hawajui
walitendalo na mimi
nimeshawasamehe.
Nimetoa utangulizi na sasa ni wakati
mzuri kwenda kwenda katika kile
ambacho
nimekusudia watu mbalimbali wapate
kukijua japo kwa kutumia muda wao
mchache katika
kudurusu haya machache ambayo ni
mawazo yangu binafsi. Nasawishika
leo kuandika
makala hii ambayo nitamzungumzia
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
pia ni
mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo kwa kifupi
CHADEMA.Kimsingi kuna
sababu mbalimbali ambazo
zimenishawishi kuandika makala hii ila
kubwa zaidi ni
mwenendo wa kiongozi wangu ambaye
ni miongoni mwa watu wenye
ushawishi mkubwa kwa
wanajamii wa kitanzania, hivyo
watanzania wezangu wasipomjua
vizuri itakuwa ni hasara
kwa taifa kwani watajikuta wamepata
hasara kubwa katika taifa ili masikini.
Kabla ya kuingia katika kusudio la
makala hii ni vema kumjua japo kwa
ufupi historia
yake kama ifuatavyo:
Jina lake ni Freeman Aikaeli Mbowe,
amezaliwa 14 septemba, 1961 mkoani
Kilimanjaro na
elimu yake ni ya sekondari tu kwani
alisoma katika shule ya uhungo
seminari iliyopo
Bukoba. pia ameoa mke ambaye ni
mtoto wa mwasisi wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo
anayeitwa Lilian E. Mtei , Mhe. Mbowe
amebahatika kuwa na watoto Sita na
kwa sasa
anamke mwingine ambaye ni mke wa
kisheria ambaye ni Joyce Mukya na
kubahatika kupata
mtoto moja. Kuna watu watajiuliza
Mhe. Mbowe ni mkristo itakuwa je awe
na mke
mwingine hapa nitafafanua kwa
uchache tu. Kumbuka sheria zinasema
ukikaa na mwanamke
kwa miezi inayozidi sita unahesabika
kuwa umeoa. Mhe. Mbowe bila ya
kuhesababu huko
nyuma wamekuwa wapenzi kwa muda
gani tuhesabu hapa kuanzia mimba
mpaka kuzaa miezi
mingapi imepita ? je aijakamilika sita
ya kisheria? najua kila mtu ambaye
atakishughulisha kichwa chake
atakuwa amepata jibu la swali hilo.
Kwa sasa Mhe. Mbowe
anajushughulisha na siasa pia ni
mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo.
Mwaka 2000 alichaguliwa kuwa
mbunge wa jimbola Hai ambalo
alishinda kwa asilimia
64.5% za kura zote zilizopigwa, vile
vile kutokana na ushindi ambao
aliupata mwaka
2000 alitumia haki yake kikatiba na
kujua kuwa watanzania wa Hai ni
sawa na
watanzania wa nchi nzima akahamua
kujitosa katika kugombea nafasi ya
urais mwaka 2005
kukiwakilsha chama chake cha
CHADEMA. Tarehe 14 Decemba, 2005
alipata asilimia 5.88%
ya kura. Baada ya matokeo hayo mimi
kwa uwezo wangu nilijaliwa na mungu
niliamini
kuwa mtoto akizaliwa uanza kukaa na
kuendelea kutamba na mwisho
kutembea lakini ni
tofauti na Mhe.Mbowe yeye alitambaa
pia akatembea mwisho wa siku
akarudia kutambaa
haya ni maajabu ya ulimwengu huu.
hapa nina maana kuwa mwaka 2000
aligombea ubunge na
mwaka 2005 aligombea uraisi lakini
cha ajabu mwaka 2010 alirudi
kugombea ubunge kwa
mimi naona ni maajabu sijui wewe
mwezangu? mwaka 2010 aligombea
ubunge na kumshinda
mgombea wa CCM ndugu FUYI
KIMBITA kwa asilimia 51.63% ya kura.
hapa unaona ni jinsi
gani ameshuka kutoka asilimia 64.5 %
mwaka 2000 na kufikia asilimia 51.63%
matarajio
yangu mwaka 2015 atapata zile
asilimia alizopata katika urais hii
itatokana na
mwenendo wake wa sasa wa kiongozi
huyu.
Baada ya kuwapatia machache na
historia yake japo kwa ufupi ili wewe
msomaji wa
makala hii uweze kujua ni nani
anazungumziwa hapa na niwapi katoka
mpaka kufikia hapa.
Swali ni kwa nini mwandishi wa
makala amehamu kuandika hii makala
yenye kitambulisho
cha " UNAFIKI WA MBOWE KATIKA
MAMBO MUHIMU" kimsingi kuna
sababu nyingi mno
zilizomshawishi mwandishi kuandika
makala hii ila nitazitaja chache
kutokana na wingi
wake ila mungu akipenda zitakuja
kuzitaja nyingine katika makala
nyingine pale tu
mwandishi atakapo pata wasaha wa
kufanya hivyo, ila kwa uchache
tujilizishe na hizi
zifuatazo:
A. UFISADI MKUBWA UNAOFANYWA
NA MHE. MBOWE.
Mhe. Mbowe ni kiongozi mnafiki pale
anapozungumzia suala la ufisadi kwa
kuwa na yeye
ni fisadi mkubwa kwa msamiati huu
niliupata kwa Bw Mengi ila mimi
nitautumia kwa Mhe.
Mbowe kuwa naye ni fisadi papa.
Hapa namnasibisha na Chui alivaa
ngozi ya Kondoo.
Mhe. Mbowe ni fisadi papa na hapa
nitaweka baadhi ya ithibati za
kuthibitisha ufisadi
wake, kwa kuanza nitaanza na
kumnukuu kiongozi mwenzie mwenye
nafasi ya juu ndani ya
CHADEMA alipotamka haya maneno
hivyo ni ithibati namba moja
" Nadhani alimwambia pia mwaka 2008
( Baada ya orodha ya mafisadi
kutangazwa2007)Mkono alimpa
Freeman Aikaeli Mbowe shilingi Million
20 za uchaguzi
mdogo wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa "
Ni nukuu ya Zitto Kabwe katika profile
yake ya Facebook.
Je huu si ufisadi? amepokea pesa
kutoka kwa mtu kisha anakuja katika
chama anasema
kuwa amekikopesha chama pesa na
kushindikiza kulipwa na akalipwa huu
ni ufisadi.
hivyo mtu huyu anapozungumzia
ufisadi ni unafiki ulitukuka.
Pia chanzo cha taarifa kiliendelea
kutoa data za ndani ambazo ni ithibati
ya pili ya
ufisadi wa Mhe. Mbowe "Nadhani
alimwambia pia mwaka 2010 Mkono
alimpa Mbowe
Millioni 200 za kampeni ya Slaa pia
hakusahau kumwambia kuwa Rostam
Azizi alimpa
Mbowe Sh million 100 za kampeni.
Lissu anajua ? "
Kwa maelezo hayo ya naibu katibu
mkuu wa chama taifa ni ithibati tosha
za
kuthibitisha kuwa Mbowe ni fiasdi
papa ambaye ni mnafiki aliyetukuka na
pale
anapokuwa anataka kuwaaminisha
watanzania kuwaona kuwa CCM peke
ndio mafisadi hali ya
kuwa naye ni miongoni mwa mafisadi
huu ni unafiki uliyovuka kiwango yaani
ni unafiki
ulitukuka. basi si hayo tu bali kuna
ithibati nyingine ambayo inaonyesha
kuwa
Mhe.Mbowe ni fisadi papa ni huu hapa
chini ebu soma kwa makini halafu
tafakari kwa
kina
" Kufuatia uchaguzi mkuu wa mwaka
2005, Mhe. Mbowe alitufahamisha
wanachama kuwa
alikuwa anakidai chama US $
181,949.00 sawa TSH 218.338,546.
Mpaka sasa chama
kimekwisha mlipa TSH 175,000.000/=
Baada ya kupata wadhifa wa makamu
Mwenyekiti na
kwa kuzingatia takwimu zionekanazo
hapo juu katika kulinganisha matumizi
ya fedha
wilayani na makao makuu niliamua
kumshauri Mbowe asitishe kujilipa deni
kutokana na
fedha za ruzuku kwani siamini kuwa
kulipa madeni yaliyopo kwa kuendana
na utaratibu
wa usimamizi wa fedha za ruzuku kwa
vyama vya siasa toka serikalini.
Mhe. Mbowe alichachamaa na ndipo
nilipomshauri kuwa kama ni hivyo basi
atuthibitishie
pesa hizo anazodai chama aliko[esha
chama ziliingia kwenye akaunti gani ya
chama
yaani CHADEMA, KUPITIA HUNDI ipi
na lini? nilimuomba pia kutaja ni kikao
gani cha
chama kiilihidhinisha matumizi ya
fedha hizo kwani kama hakuna
ushahidi wa
maidhinisho ni dhahiri kuwa matumizi
hayo haykuthibitishwa na chama na
kwa mantiki
hiyo kuyafanya kuwa matuumizi
binafsi ya Mhe. Mbowe. V ile
vilenilimueleza kuwa
yalikuwa yakinukia harufu ya Ufisadi.
Stakabadhi zote kuhusiana na
matumizi hayo zilionesha kuwa
gharama za aidha ununuzi
na au ukodishaji wa vifaa hivyo,
hazikutofautiana na viwango
wanavyolipishwa watalii
kwa huduma kama hizo, kwa maana
ya gharama ya juu sana. nNa kwa
kuwa hata baada ya
kuwa Mhe. mbowe amekwisha lipwa
zaidi ya nusu ya deni alilodai
kuikopesha CHADEMA
VIFAA VYOTE YAKIWEMO MAGARI,
VIPAZA SAUTI NA KADHALIKA
VIMEBAKIA KUWA MALI YAKE
BINAFSI, basi bila kumficha
nilimueleza kuwa huko ni kukinyonya
chama kwa kukigeuza
kitega uchumi cha watu binafsi.
Kuhusu suala la kulipa madeni kupitia
ruzuku ya
serikali, nilimuomba Mhe. Mbowe
afuatilie kwa Msajili wa vyama kweli
fedha za ruzuku
ya serikali kwa vyama vya siasa,
inaweza kutumika kulipia madeni ya
viongozi wa vyama
hivyo yatokanayo na uchaguzi ili
CHADEMA isiathirike kisheria.
Nimesema kweli hapa
kwamba kwa wanachadema wengi
walinichagua kuwa makamu
mwenyekiti na hata mimi
mwenyewe tulikuwa wagombea wa
nafasi ya ubunge,udiwani n.k katika
uchaguzi wa mwaka
2005 ningeferijika sana iwapo na sisi
tungerejeshewa angalau chochote cha
kufidia
gharama zetu, kwa maana kwamba
kama chama kimeamua kurudisha
gharama hizo kiwalipe
wote baada ya kulipa madeni kwa
wateule wachache "
Je kuna shaka lolote nikisema kuwa
Mhe. Mbowe ni fisadi papa ? hakuna
shaka kwani kilakitu nimeweka wazi
kupitia nukuu za viongozi wakubwa
ndani ya chama cha
Demokrasia na Maendeleo. Kwa
kudurusu baadhi ya maandiko tu hayo
hapo juu tumeiona
ufisadi mkubwa unaofanywa na Mhe.
Mbowe, swali la kujiuliza hapa
tumempa taasisi
ndogo kama Saccos ameweza kufanya
ufisadi wa kutisha kwa namna hii. Je,
tukimpa nchi
au wizara ya fedha nchi itakuwa katika
hali gani?
B. KUWAIBIA WANYONGE WA NCHI HII
( UMMA UNATEKETEA KWA UNAFIKI
WA MBOWE)
Napenda kuchukua nafasi adhimu ya
kuwatazalisha ndugu zangu
watanzania wezangu wenye
uzalendo na nchi hii kuwa makini na
kiongozi huyu aliyevaa ngozi ya
Kondoo angali
yeyey ni Chui mkubwa. Nchi hii ikiwa
inajitaidi katika kupambana na
maharamia wa
kigeni kumbe inasahau kuwa kuna
maharami wanyeji ambao wamekuwa
mwiba wa maendeleo ya
uchumi wetu ambao wanatumia
nyadhifa zao katika kuwaibia
wanyonge wa nchi hapa pia
nina mifano dhahiri ambayo ni ithibati
tosha kuwa Mhe. Mbowe ni mnafiki
katika mambo
muhiu ya taifa ili.
" aeleze aliingia deal gani na Kinana na
Sumaye mwaka 2005 kuifutia deni lake
la NSSF. Aweke wazi mikataba yake
na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas"
Ebu tazama ni jinsi gani huyu jamaa
alivyokuwa nafiki ambaye hata
athamini kazi
iliyofanywa na watanganyika
walitukomboa katika unyonyaji wa
watu weupe. Je maesahau
mchango wa wazee wangu hakina
Abdulwahd Syjes, Osca Kambona,Bibi
Titi Mohammed,J.K wa
Kwanza, Dossa Azizi, Mwalimu
Kiyele,Mzee Mtevu na sheik Amiri na
wengine wengi ambao
walitumia muda wao mwingi
kuhakikisha mtanganyika anatoka
katika unyonyaji wa namna
yoyote lakini leo mtanzania mwenzetu
anaturudisha katika karne ya ukoloni
kwa kutumia
rasilimali zetu kujinufaisha binafsi huu
ni unyonyaji kwani NHC NA NSSF ni
mali ya
wanyonge wa nchi hii. Pia kuwafanya
watanzania kutopa mahitaji yao ya
msingi kwa
kuendekeza tamaa zake ni
kuwanyonya wanyonge wa nchi hii ebu
soma hapa "
amemshinikiza mbunge wa viti
maalumu ndugu Joyce Mukya,
kukatisha ziara ya kikazi za
kibunge alipopangiwa na kumlazimisha
wakutanane nyumbani kwake Dubai"
ushahidi wa ili ni hizi sms " bwana
kabunju, salaam. Rejea mazungumzo
kuhusu
Mhe.Joyce Mukya ambaye yuko
safarini . Nitashukuru akibadilishiwa
booking yake aweze
kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku
ya jumapili kurejea Dubai na
kuunganisha Dar tar
3Dec. Mbowe,KUB.Cc Mhe.Joyce
Mukya"
Huyu ni mtanzania mwenzetu ambaye
anachukua mpaka kile kidogo chetu.
Pia wanyonyaji weusi wamekuja na
mbinu mpya ya M4C yaani ni
Movement for Change
ambayo kimsingi ni miongoni mwa
mbinu ya unyonyaji kwa wanyonge wa
nchi hii ambayo
mimi nainasibisha na mbinu zilizokuwa
zinatumika katika kipindi cha feudalism
(ukabaila) pale Feudal lord(kwa sasa ni
Mbowe) walipokuwa wanawatumia
wakulima
katika kujipatia kipato chao bila hata
jasho lakini leo hawa feudal lord
wanawatumia
maskini wa nchi hii katika kujipatia
kipato chao kwani tofauti ya feudal lord
wa
karne ya 18's na hawa wa karne ya 21
ni moja tu kwani feudal lord walitumia
ardhi(land) lakini hawa wa sasa
wanatumia M4C( Movement for
Change ).
C. KUKIFANYA CHAMA KUWA MRADI
WAKE BINAFSI
Mwenendo wa uendeshaji wa chama
cha CHADEMA kwa sasa hakuna
tofauti na uwendeshaji wa
biashara fulani nahisi sitokuwa
nimekosea nikapo sema ni saccos
kwa sababu mbalimbali
moja kuwa chama cha siasa
kinaendeshwa kwa msingi wa
kidemokrasia lakini saccos
inaendeshwa kwa msingi wa mmiliki je
kuna tofauti na chadema ya Mbowe
kwani yeye
anaiendesha jinsi anavyotaka. Hapa
najua watanzania makini watakuwa
wamenielewa kwa
wepesi kwani wengi wetu
tunajihusisha na saccos pia nina
ushahidi wa uwazishwaji wa
chama cha chadema. Ila kwa leo si
lengo langu juu ya ili ilaitakapotakiwa
nitakuja
kuchambua kila chama kilivyoanza ili
watanzania wajue kwa nini
nainasibisha CHADEMA
na SACCOS. Mhe. Mbowe amefanya
chama ni mradi wake juu ya ushahidi
wa ili nakuomba
rejea walaka wa Chacha Wangwe
ambao umeelezewa katika hoja iliyopo
katika kifungu "A"
cha makala hii.
D. KUTUMIA PESA NYINGI
KUWATHIBITI WALE WOTE AMBAO NI
WANADEMOKRASIA YA KWELI
Je Mhe. Mbowe si mnafiki? leo
ukiniambia kuwa kiongozi huyu ni
mzalendo na
mwanaDemokrasia napata mashaka
na weledi watu ambaye atareta hoja ya
namna hiyo kwa
sababu mbalimbali ikwemo juu ya
mwenendo wake. Kuna mifano mingi
sana ambayo
inathibitisha kuwa Mbowe si
mwanademokrasia pia mnafiki
aliyetukuka katika mambo
muhimu kwani ebu tureje mambo
ambayo yamefanya Ndugu zangu
Habibu Mchange, Mtela
Mwampamba, Samson Mwigamba,Dr
Kitila Mkumbo,Marehemu Chacha
Wangwe na Juliana Shonza
kuwa nje ya Chadema ? kuna watu
watajito ufahamu kwa kufanya hawajui
basi hata la
Mhe. Kafulila? sawa basi ili la juzi
ambalo limefanywa kuwa kiboro la
Mzalendo Zitto
Kabwe nalo tumelisahahu?
Nina mengi sana ila kwa kuwa muda
na mambo ya kijamii yamekuwa nayo
yakidai mudA
kutoka kwangu basi naoma nishie hapa
ila natoa ahadi ya kuja kumalizia
makala hii
wiki ijayo kwani itakua na muendelezo
wa makala hii. Nakuomba msomaji
wangu usikose
kusoma muendelezo wa makala hii.
Kwa maoni na Ushauri , tumia njia hizi
za mawasiliano kwa mwandishi
Jina Mshana junior 2013 SIMU :0712 47
48 10
BARUA PEPE : halfanm8@gmail.com
Nani kakukopia hizi takataka au unazo kwenye Flash Disk?
 
Intelijensia ya CHADEMA AHAIKUNASA A taarifa hii?
 
UNAFIKI WA MHE. MBOWE KATIKA
MAMBO MUHIMU

Jina Mshana junior 2013 SIMU :0712 47
48 10
BARUA PEPE : halfanm8@gmail.com

Kaka Mshana ni rahisi sana kuomnyooshea mtu mwingine kidole,na angalizo unapomnyooshea mtu kidole angali vingapi vinakurudia?Si vyema kusema sifa mbaya za mtu ilhali wewe za kwako hakuna mtu atakayeziweka mtandaoni.Ni vyema uene ukamweleze mwenyewe kama kweli una ubavu,vinginevyo haya uyasemayo si ya kweli ni umbea na uwongo uliotukuka.
 
Katika watu wanaoliwa ni ww uliouandaa waraka huu, kwann nasema unaliwa, kuliwa si tusi ila kwa kikwetu ni unafki, nakuuliza swal ww mboye anakuhusu nn? Kwann usiandike waraka wa tembo wanauawa na hii serikal ya ccm!! Umetumwa si bure, narudie tena unaliwa mkuu!!
 
bila shaka atakuwa zitto kubwe mbinu zke kumchafua mwenyekiti wetu mjinga sana huyu dogoo
 
UNAFIKI WA MHE. MBOWE KATIKA
MAMBO MUHIMU
Kwanza kabisa napenda kuwashukuru
wale wote ambao walitumia muda wao
kupitia na
kudurusu makala yangu iliyokuwa na
kichwa cha habari kisemacho "
WATANZANIA TUITAZAME
CHADEMA KWA JICHO LA TATU"
Makala hiyo ilichapwa tarehe
12-02-2014 siku ya jumatano.
Ni makala ilichangiwa na watu wengi
na kupokea maoni na ushauri kuliko
makala zangu
zote ambazo nimewahi kuziandika
hapo nyuma. Ila waswahili wanasema
kuwa "kwenye
wengi hapakosi jambo" hivyo nilipokea
maoni tofauti na ushauri lakini pia
nilipokea maneno yenye lugha chafu ila
nimechukulia kama changamoto za
walimwengu tu.
Mimi nasema kuwa wale wote
waliotumia lugha chafu hawajui
walitendalo na mimi
nimeshawasamehe.
Nimetoa utangulizi na sasa ni wakati
mzuri kwenda kwenda katika kile
ambacho
nimekusudia watu mbalimbali wapate
kukijua japo kwa kutumia muda wao
mchache katika
kudurusu haya machache ambayo ni
mawazo yangu binafsi. Nasawishika
leo kuandika
makala hii ambayo nitamzungumzia
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
pia ni
mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo kwa kifupi
CHADEMA.Kimsingi kuna
sababu mbalimbali ambazo
zimenishawishi kuandika makala hii ila
kubwa zaidi ni
mwenendo wa kiongozi wangu ambaye
ni miongoni mwa watu wenye
ushawishi mkubwa kwa
wanajamii wa kitanzania, hivyo
watanzania wezangu wasipomjua
vizuri itakuwa ni hasara
kwa taifa kwani watajikuta wamepata
hasara kubwa katika taifa ili masikini.
Kabla ya kuingia katika kusudio la
makala hii ni vema kumjua japo kwa
ufupi historia
yake kama ifuatavyo:
Jina lake ni Freeman Aikaeli Mbowe,
amezaliwa 14 septemba, 1961 mkoani
Kilimanjaro na
elimu yake ni ya sekondari tu kwani
alisoma katika shule ya uhungo
seminari iliyopo
Bukoba. pia ameoa mke ambaye ni
mtoto wa mwasisi wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo
anayeitwa Lilian E. Mtei , Mhe. Mbowe
amebahatika kuwa na watoto Sita na
kwa sasa
anamke mwingine ambaye ni mke wa
kisheria ambaye ni Joyce Mukya na
kubahatika kupata
mtoto moja. Kuna watu watajiuliza
Mhe. Mbowe ni mkristo itakuwa je awe
na mke
mwingine hapa nitafafanua kwa
uchache tu. Kumbuka sheria zinasema
ukikaa na mwanamke
kwa miezi inayozidi sita unahesabika
kuwa umeoa. Mhe. Mbowe bila ya
kuhesababu huko
nyuma wamekuwa wapenzi kwa muda
gani tuhesabu hapa kuanzia mimba
mpaka kuzaa miezi
mingapi imepita ? je aijakamilika sita
ya kisheria? najua kila mtu ambaye
atakishughulisha kichwa chake
atakuwa amepata jibu la swali hilo.
Kwa sasa Mhe. Mbowe
anajushughulisha na siasa pia ni
mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo.
Mwaka 2000 alichaguliwa kuwa
mbunge wa jimbola Hai ambalo
alishinda kwa asilimia
64.5% za kura zote zilizopigwa, vile
vile kutokana na ushindi ambao
aliupata mwaka
2000 alitumia haki yake kikatiba na
kujua kuwa watanzania wa Hai ni
sawa na
watanzania wa nchi nzima akahamua
kujitosa katika kugombea nafasi ya
urais mwaka 2005
kukiwakilsha chama chake cha
CHADEMA. Tarehe 14 Decemba, 2005
alipata asilimia 5.88%
ya kura. Baada ya matokeo hayo mimi
kwa uwezo wangu nilijaliwa na mungu
niliamini
kuwa mtoto akizaliwa uanza kukaa na
kuendelea kutamba na mwisho
kutembea lakini ni
tofauti na Mhe.Mbowe yeye alitambaa
pia akatembea mwisho wa siku
akarudia kutambaa
haya ni maajabu ya ulimwengu huu.
hapa nina maana kuwa mwaka 2000
aligombea ubunge na
mwaka 2005 aligombea uraisi lakini
cha ajabu mwaka 2010 alirudi
kugombea ubunge kwa
mimi naona ni maajabu sijui wewe
mwezangu? mwaka 2010 aligombea
ubunge na kumshinda
mgombea wa CCM ndugu FUYI
KIMBITA kwa asilimia 51.63% ya kura.
hapa unaona ni jinsi
gani ameshuka kutoka asilimia 64.5 %
mwaka 2000 na kufikia asilimia 51.63%
matarajio
yangu mwaka 2015 atapata zile
asilimia alizopata katika urais hii
itatokana na
mwenendo wake wa sasa wa kiongozi
huyu.
Baada ya kuwapatia machache na
historia yake japo kwa ufupi ili wewe
msomaji wa
makala hii uweze kujua ni nani
anazungumziwa hapa na niwapi katoka
mpaka kufikia hapa.
Swali ni kwa nini mwandishi wa
makala amehamu kuandika hii makala
yenye kitambulisho
cha " UNAFIKI WA MBOWE KATIKA
MAMBO MUHIMU" kimsingi kuna
sababu nyingi mno
zilizomshawishi mwandishi kuandika
makala hii ila nitazitaja chache
kutokana na wingi
wake ila mungu akipenda zitakuja
kuzitaja nyingine katika makala
nyingine pale tu
mwandishi atakapo pata wasaha wa
kufanya hivyo, ila kwa uchache
tujilizishe na hizi
zifuatazo:
A. UFISADI MKUBWA UNAOFANYWA
NA MHE. MBOWE.
Mhe. Mbowe ni kiongozi mnafiki pale
anapozungumzia suala la ufisadi kwa
kuwa na yeye
ni fisadi mkubwa kwa msamiati huu
niliupata kwa Bw Mengi ila mimi
nitautumia kwa Mhe.
Mbowe kuwa naye ni fisadi papa.
Hapa namnasibisha na Chui alivaa
ngozi ya Kondoo.
Mhe. Mbowe ni fisadi papa na hapa
nitaweka baadhi ya ithibati za
kuthibitisha ufisadi
wake, kwa kuanza nitaanza na
kumnukuu kiongozi mwenzie mwenye
nafasi ya juu ndani ya
CHADEMA alipotamka haya maneno
hivyo ni ithibati namba moja
" Nadhani alimwambia pia mwaka 2008
( Baada ya orodha ya mafisadi
kutangazwa2007)Mkono alimpa
Freeman Aikaeli Mbowe shilingi Million
20 za uchaguzi
mdogo wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa "
Ni nukuu ya Zitto Kabwe katika profile
yake ya Facebook.
Je huu si ufisadi? amepokea pesa
kutoka kwa mtu kisha anakuja katika
chama anasema
kuwa amekikopesha chama pesa na
kushindikiza kulipwa na akalipwa huu
ni ufisadi.
hivyo mtu huyu anapozungumzia
ufisadi ni unafiki ulitukuka.
Pia chanzo cha taarifa kiliendelea
kutoa data za ndani ambazo ni ithibati
ya pili ya
ufisadi wa Mhe. Mbowe "Nadhani
alimwambia pia mwaka 2010 Mkono
alimpa Mbowe
Millioni 200 za kampeni ya Slaa pia
hakusahau kumwambia kuwa Rostam
Azizi alimpa
Mbowe Sh million 100 za kampeni.
Lissu anajua ? "
Kwa maelezo hayo ya naibu katibu
mkuu wa chama taifa ni ithibati tosha
za
kuthibitisha kuwa Mbowe ni fiasdi
papa ambaye ni mnafiki aliyetukuka na
pale
anapokuwa anataka kuwaaminisha
watanzania kuwaona kuwa CCM peke
ndio mafisadi hali ya
kuwa naye ni miongoni mwa mafisadi
huu ni unafiki uliyovuka kiwango yaani
ni unafiki
ulitukuka. basi si hayo tu bali kuna
ithibati nyingine ambayo inaonyesha
kuwa
Mhe.Mbowe ni fisadi papa ni huu hapa
chini ebu soma kwa makini halafu
tafakari kwa
kina
" Kufuatia uchaguzi mkuu wa mwaka
2005, Mhe. Mbowe alitufahamisha
wanachama kuwa
alikuwa anakidai chama US $
181,949.00 sawa TSH 218.338,546.
Mpaka sasa chama
kimekwisha mlipa TSH 175,000.000/=
Baada ya kupata wadhifa wa makamu
Mwenyekiti na
kwa kuzingatia takwimu zionekanazo
hapo juu katika kulinganisha matumizi
ya fedha
wilayani na makao makuu niliamua
kumshauri Mbowe asitishe kujilipa deni
kutokana na
fedha za ruzuku kwani siamini kuwa
kulipa madeni yaliyopo kwa kuendana
na utaratibu
wa usimamizi wa fedha za ruzuku kwa
vyama vya siasa toka serikalini.
Mhe. Mbowe alichachamaa na ndipo
nilipomshauri kuwa kama ni hivyo basi
atuthibitishie
pesa hizo anazodai chama aliko[esha
chama ziliingia kwenye akaunti gani ya
chama
yaani CHADEMA, KUPITIA HUNDI ipi
na lini? nilimuomba pia kutaja ni kikao
gani cha
chama kiilihidhinisha matumizi ya
fedha hizo kwani kama hakuna
ushahidi wa
maidhinisho ni dhahiri kuwa matumizi
hayo haykuthibitishwa na chama na
kwa mantiki
hiyo kuyafanya kuwa matuumizi
binafsi ya Mhe. Mbowe. V ile
vilenilimueleza kuwa
yalikuwa yakinukia harufu ya Ufisadi.
Stakabadhi zote kuhusiana na
matumizi hayo zilionesha kuwa
gharama za aidha ununuzi
na au ukodishaji wa vifaa hivyo,
hazikutofautiana na viwango
wanavyolipishwa watalii
kwa huduma kama hizo, kwa maana
ya gharama ya juu sana. nNa kwa
kuwa hata baada ya
kuwa Mhe. mbowe amekwisha lipwa
zaidi ya nusu ya deni alilodai
kuikopesha CHADEMA
VIFAA VYOTE YAKIWEMO MAGARI,
VIPAZA SAUTI NA KADHALIKA
VIMEBAKIA KUWA MALI YAKE
BINAFSI, basi bila kumficha
nilimueleza kuwa huko ni kukinyonya
chama kwa kukigeuza
kitega uchumi cha watu binafsi.
Kuhusu suala la kulipa madeni kupitia
ruzuku ya
serikali, nilimuomba Mhe. Mbowe
afuatilie kwa Msajili wa vyama kweli
fedha za ruzuku
ya serikali kwa vyama vya siasa,
inaweza kutumika kulipia madeni ya
viongozi wa vyama
hivyo yatokanayo na uchaguzi ili
CHADEMA isiathirike kisheria.
Nimesema kweli hapa
kwamba kwa wanachadema wengi
walinichagua kuwa makamu
mwenyekiti na hata mimi
mwenyewe tulikuwa wagombea wa
nafasi ya ubunge,udiwani n.k katika
uchaguzi wa mwaka
2005 ningeferijika sana iwapo na sisi
tungerejeshewa angalau chochote cha
kufidia
gharama zetu, kwa maana kwamba
kama chama kimeamua kurudisha
gharama hizo kiwalipe
wote baada ya kulipa madeni kwa
wateule wachache "
Je kuna shaka lolote nikisema kuwa
Mhe. Mbowe ni fisadi papa ? hakuna
shaka kwani kilakitu nimeweka wazi
kupitia nukuu za viongozi wakubwa
ndani ya chama cha
Demokrasia na Maendeleo. Kwa
kudurusu baadhi ya maandiko tu hayo
hapo juu tumeiona
ufisadi mkubwa unaofanywa na Mhe.
Mbowe, swali la kujiuliza hapa
tumempa taasisi
ndogo kama Saccos ameweza kufanya
ufisadi wa kutisha kwa namna hii. Je,
tukimpa nchi
au wizara ya fedha nchi itakuwa katika
hali gani?
B. KUWAIBIA WANYONGE WA NCHI HII
( UMMA UNATEKETEA KWA UNAFIKI
WA MBOWE)
Napenda kuchukua nafasi adhimu ya
kuwatazalisha ndugu zangu
watanzania wezangu wenye
uzalendo na nchi hii kuwa makini na
kiongozi huyu aliyevaa ngozi ya
Kondoo angali
yeyey ni Chui mkubwa. Nchi hii ikiwa
inajitaidi katika kupambana na
maharamia wa
kigeni kumbe inasahau kuwa kuna
maharami wanyeji ambao wamekuwa
mwiba wa maendeleo ya
uchumi wetu ambao wanatumia
nyadhifa zao katika kuwaibia
wanyonge wa nchi hapa pia
nina mifano dhahiri ambayo ni ithibati
tosha kuwa Mhe. Mbowe ni mnafiki
katika mambo
muhiu ya taifa ili.
" aeleze aliingia deal gani na Kinana na
Sumaye mwaka 2005 kuifutia deni lake
la NSSF. Aweke wazi mikataba yake
na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas"
Ebu tazama ni jinsi gani huyu jamaa
alivyokuwa nafiki ambaye hata
athamini kazi
iliyofanywa na watanganyika
walitukomboa katika unyonyaji wa
watu weupe. Je maesahau
mchango wa wazee wangu hakina
Abdulwahd Syjes, Osca Kambona,Bibi
Titi Mohammed,J.K wa
Kwanza, Dossa Azizi, Mwalimu
Kiyele,Mzee Mtevu na sheik Amiri na
wengine wengi ambao
walitumia muda wao mwingi
kuhakikisha mtanganyika anatoka
katika unyonyaji wa namna
yoyote lakini leo mtanzania mwenzetu
anaturudisha katika karne ya ukoloni
kwa kutumia
rasilimali zetu kujinufaisha binafsi huu
ni unyonyaji kwani NHC NA NSSF ni
mali ya
wanyonge wa nchi hii. Pia kuwafanya
watanzania kutopa mahitaji yao ya
msingi kwa
kuendekeza tamaa zake ni
kuwanyonya wanyonge wa nchi hii ebu
soma hapa "
amemshinikiza mbunge wa viti
maalumu ndugu Joyce Mukya,
kukatisha ziara ya kikazi za
kibunge alipopangiwa na kumlazimisha
wakutanane nyumbani kwake Dubai"
ushahidi wa ili ni hizi sms " bwana
kabunju, salaam. Rejea mazungumzo
kuhusu
Mhe.Joyce Mukya ambaye yuko
safarini . Nitashukuru akibadilishiwa
booking yake aweze
kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku
ya jumapili kurejea Dubai na
kuunganisha Dar tar
3Dec. Mbowe,KUB.Cc Mhe.Joyce
Mukya"
Huyu ni mtanzania mwenzetu ambaye
anachukua mpaka kile kidogo chetu.
Pia wanyonyaji weusi wamekuja na
mbinu mpya ya M4C yaani ni
Movement for Change
ambayo kimsingi ni miongoni mwa
mbinu ya unyonyaji kwa wanyonge wa
nchi hii ambayo
mimi nainasibisha na mbinu zilizokuwa
zinatumika katika kipindi cha feudalism
(ukabaila) pale Feudal lord(kwa sasa ni
Mbowe) walipokuwa wanawatumia
wakulima
katika kujipatia kipato chao bila hata
jasho lakini leo hawa feudal lord
wanawatumia
maskini wa nchi hii katika kujipatia
kipato chao kwani tofauti ya feudal lord
wa
karne ya 18's na hawa wa karne ya 21
ni moja tu kwani feudal lord walitumia
ardhi(land) lakini hawa wa sasa
wanatumia M4C( Movement for
Change ).
C. KUKIFANYA CHAMA KUWA MRADI
WAKE BINAFSI
Mwenendo wa uendeshaji wa chama
cha CHADEMA kwa sasa hakuna
tofauti na uwendeshaji wa
biashara fulani nahisi sitokuwa
nimekosea nikapo sema ni saccos
kwa sababu mbalimbali
moja kuwa chama cha siasa
kinaendeshwa kwa msingi wa
kidemokrasia lakini saccos
inaendeshwa kwa msingi wa mmiliki je
kuna tofauti na chadema ya Mbowe
kwani yeye
anaiendesha jinsi anavyotaka. Hapa
najua watanzania makini watakuwa
wamenielewa kwa
wepesi kwani wengi wetu
tunajihusisha na saccos pia nina
ushahidi wa uwazishwaji wa
chama cha chadema. Ila kwa leo si
lengo langu juu ya ili ilaitakapotakiwa
nitakuja
kuchambua kila chama kilivyoanza ili
watanzania wajue kwa nini
nainasibisha CHADEMA
na SACCOS. Mhe. Mbowe amefanya
chama ni mradi wake juu ya ushahidi
wa ili nakuomba
rejea walaka wa Chacha Wangwe
ambao umeelezewa katika hoja iliyopo
katika kifungu "A"
cha makala hii.
D. KUTUMIA PESA NYINGI
KUWATHIBITI WALE WOTE AMBAO NI
WANADEMOKRASIA YA KWELI
Je Mhe. Mbowe si mnafiki? leo
ukiniambia kuwa kiongozi huyu ni
mzalendo na
mwanaDemokrasia napata mashaka
na weledi watu ambaye atareta hoja ya
namna hiyo kwa
sababu mbalimbali ikwemo juu ya
mwenendo wake. Kuna mifano mingi
sana ambayo
inathibitisha kuwa Mbowe si
mwanademokrasia pia mnafiki
aliyetukuka katika mambo
muhimu kwani ebu tureje mambo
ambayo yamefanya Ndugu zangu
Habibu Mchange, Mtela
Mwampamba, Samson Mwigamba,Dr
Kitila Mkumbo,Marehemu Chacha
Wangwe na Juliana Shonza
kuwa nje ya Chadema ? kuna watu
watajito ufahamu kwa kufanya hawajui
basi hata la
Mhe. Kafulila? sawa basi ili la juzi
ambalo limefanywa kuwa kiboro la
Mzalendo Zitto
Kabwe nalo tumelisahahu?
Nina mengi sana ila kwa kuwa muda
na mambo ya kijamii yamekuwa nayo
yakidai mudA
kutoka kwangu basi naoma nishie hapa
ila natoa ahadi ya kuja kumalizia
makala hii
wiki ijayo kwani itakua na muendelezo
wa makala hii. Nakuomba msomaji
wangu usikose
kusoma muendelezo wa makala hii.
Kwa maoni na Ushauri , tumia njia hizi
za mawasiliano kwa mwandishi
Jina Mshana junior 2013 SIMU :0712 47
48 10
BARUA PEPE : halfanm8@gmail.com

Napata shida na uwezo Wa uelewa Wa huyu MTU
kukaa /kuish na mwanamke miez sita ndo anakua mkeo sio kudate na mwanamke au kumpa mimba chz ww
 
MuHAndishi ukipata wasaHA mwingine tafadhali utumie vizuri kwa kula au kulala ukue, kuliko kujitaHAbisha kuandika 'makala' ya upuuzi, umbea, majungu na mipasho isiyo na maana!
 
yan wana kaskazin ukimsema mungu wao tu umewaudh hata kama ni ukwel jengen hojaa toweni ushahid cyo mnakurupuka tu jibuni kwa hojaa je hayo ni ya kweli ama uongo?
 
Hili genge la wahuni wa ACT lina matatizo.....Kapokee ujira wako kwa Zitto..
 
Haya kachukue Elfu saba zako manake umeshaharisha hapa.
 
Back
Top Bottom