Hiki kitendo cha Diamond kutokuwa mzito kwenye kujishusha ndo kimemfanya kufika hapo alipo na nina uhakika kwenye safari yake ya kutegemea sapoti ya watu atafika mbali!!!!!
na ukikuta sheli yenye petrol iliyochakachuliwa pamoja na kidumu chako kujaa vizuri lazima gauge ishuke mda mfupi baada ya kutumia, wenye kujua mafuta mazuri pia mtuelekeze pa kuyapata
NYIE WAUZA UNGA !! wengine tushawachoka sasa, imekuwa kero kulazimisha kila siku Serikali ionekane haifai, Misamo yote mmeshaiona hakuna namna ya kurahisisha izo Biashara zenu!!!! Thats all, Fanyeni biashara halali ili mwendane na Awamu hii
Cha msingi nyie waendaji kwa uyo Mtumishi kusikiliza majungu badala ya Neno nawapeni Pole na Mungu awape Neema ya kupata kanisa lenye Mtumishi wa Kiroho atakaewalisha Neno la Uzima. ( Nimeita Majungu sababu yanayoongelewa hayana Mantiki Kiuhalisia zaidi ya mapovu tu kwa watu wanaolazimisha kuwa...
Taswira inaonyesha wengi wao wanaoshikilia swala la vyeti mzunguko wao wa kipato ulikuwa kati ya mambo yote yalopigwa stop na uyu mheshimiwa. Tafuteni pesa kwa njia halali jamani Mungu akiamua kukuinua ata kupitia shughuli izo izo ndogo utainuka tu
ilo ndo tatizo la kujilazimisha kuishi na mtu sababu ya mtoto au ujauzito, mbele ya Safari ni lazima uchemke sababu utashindwa kuvumilia mapungufu ya apa na pale, kama unahisi kutamani kuwa mwenyewe ni bora ukaamua mapema ukiwa tayari ushaandaa mazingira ya matunzo kwa mama na mtoto
pole Sana, kwanza futa namba zake ili usimpate popote na usitake kujua habari zake popote pale iwe kwa hao marafiki zake, au kwenye mitandao jitahidi kumpotezea kabisa, angalia kitu gani unapendelea alafu fanya kwa kujiburudisha na kujenga mawazo mapya akilini. Kuhusu vitu vyako my dia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.