Recent content by hopeglory

  1. H

    JamiiForums Tanzania OFFER YA SAA NZURI -Maonesho ya syria Diamond Jublee

    Perfume na bodydpray zao ni quality kama una free time na hela kwakweli pitieni
  2. H

    JamiiForums Tanzania Maombi yatawala nyumbani kwa Lulu

    Kweli mungu amsaidie asifungwe hakika anapitia kipindi kigumu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

    Ivi fella aliwakabidhi zile nyumba alisemaga kawajengea au team fisi kawapigisha watoto watu show mpaka ulaya
  4. H

    JamiiForums Tanzania MKASA: Kipofu wa miaka kumi amkataa mkewe akidai amezeeka sana

    Alafu wanasema wanawake hawaeleweki lol
  5. H

    JamiiForums Tanzania Asante sana kunguru, kisicho rizki hakiliki

    Hahahaha vyuma vimekaza hadi kwa kunguru
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, naomba uniombe radhi mimi binafsi, sijajua wenzangu

    Ivi mbona sioni mabadiliko yoyote dar
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nauza simu elfu 50

    Ungeanzia 60
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kaniambia 'kuanzia leo usinitafute na hii mimba najua cha kuifanya', nifanyeje hapa?

    Wanawake c wajinga wanafanyaga research zao wakishapata evidence wanalianzisha ukilogwa kubisha tu anakuumbua sasa kama ulishakengeukaga siku moja omba tu msamah
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wanaume hupatwa na usingizi mzito

    Safari ndefu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na bishara ya ukahaba nchini?

    Ondoeni ushoga kwanza
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Mkasa mfupi kuhusu familia yangu

    Regardless ur dini watafute wachungaji waiombee familia yako na wew uombe kufunuliwa kwa familia yako familia zetu zina matatizo Sana but kwa mungu hakuna linaloshindikana NB kamwe usiende kwa mganga they won't help u
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais alimtuma mpambe wake akamzuie mkalimani kutafsiri Prof Kabudi alipoanza kuongea?

    Chakubanga na mfalme juha
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

    Izo ni assumption tu unaweza ukaachwa ukiwa juu ya kifua chake hayanaga formula
  14. H

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Duuu kwamaana kwamba wew ukienda na driving licence yako na gari ya mtu yoyote unaingizwa kwenye system? No supportive documents za owner wa gari Uber tupeni full info zinatakazosaidia na wengine
Back
Top Bottom