Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

"Naomba mda nifanye mambo yangu"

Hii kauli iliniumiza sana, na ndo nikajiongeza kabisa baada ya hapo hakukuwa na mapenzi tena.
 
Mmmh!Mungu aniepushe,ila mi napenda kuambiwa moja kwa moja kua hanitaki ili nianze kupambana na hisia zangu

Sipendi dalili alafu sijui siku ikitokea nikaanza kuziona sijui nitafanyaje asee
Unapenda kuambiwa Moja kwa moja kuwa "Joanah sikutaki, tuachane..nimekuchoka hunifai" hivi unajua uchungu na maumivu ya hilo neno? na mbaya zaidi ulikuwa unampenda na ulikuwa una mpango nae labda hivi...

Siku ukiziona dalili si inabidi uandae mazingira sehemu au utasikilizia?
 
Yeah!ni heri moja kwa moja kama hivyo...sipendi drama asee

Siku nikianza kuona dalili namuacha
 
hata kama mlikuwa mmepanga nae vitu vya msingi vya maisha??? Mali mlizochuma pamoja je

Duh!yani nipo mbali sana na ulichoandika hapo juu...yani mimi bado bado bado sanaaaaa

Ndo kwanzaa nina....
 
Mapenzi kizungu mkuti yapo zig zag ....hapa sitii maneno mengi ......maana me mwenyewe napambana na hali yangu...mapenzi kamali upune au upumwe ni shidaaaah kwakweli
 
Back
Top Bottom