Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Gari na nyumba vyote ni asset hamna liability hata moja hapo
At least nyumba unaweza ukaiita asset cause hata baada ya miaka thamani itapanda tu
Ila gari Ni liability tu na its never an asset to me.
Hilo gari unalilipia Mafuta na matunzo maada ya miaka 20 thamani yake iko wapi??
 
maxresdefault.jpg


Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?

Nyumba zenye we mbona hayo imeamdikwa jina la Fella?
 
Ivi fella aliwakabidhi zile nyumba alisemaga kawajengea au team fisi kawapigisha watoto watu show mpaka ulaya
 
Mi sidhani kama Fella ni mnyonyaji kihiivyo kama watu wanavyosema isipokuwa labda mchizi anapiga % kubwa au anaenda 50 -50
 
Back
Top Bottom