CCM wangekua wanateua viongozi walio na maadili tungeendelea kuipenda, lakn tatizo wanateua viongoz wabovu wa upeo na akili. Basi bora tujaribu pengine lakn sio ccm.
hakutarajia km sikumoja atakua rais ndomana amemwehuka na madaraka. Anajiona ndo tayali kafika. Kumbe bado yupo safirin, apo atapapita na atapaacha ila tu atakua tayali kasha paharibu, kaz kwa atakaekuja kubadili apo.
Mwl Nyerere hakuwahi kushi kwa Tanzania kama tunayoishi sasa. Mwl Nyerere aliishi Tanzania yenye aman. Ata akifufuka leo hii lazm aishangae jinsi ilivyo chakaa! Kwahiyo usiwafananishe viongoz wa zaman na sasa.
napita sana insta kimtembelea huyo binti unaemuongelea lakn cjawahi kuona post yake ya uongo. Na kuhusu matusi nisawa sawa baba ukiwa mburula mtoto anakua mburula zaidi. Ko apo sion tatizo. Matusi yake yanaendana na serikari ya sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.