Natamani sana zali la Nape lingenitokea mimi

Natamani sana zali la Nape lingenitokea mimi

Mzuka sana wanaJamvi!

Mimi sinaga bahati kabisa. Kila usiku nalala malango wazi tena fofofo chakustaajabisha sivamiwi. Sometimes natembea usiku maksudi tu magomeni, temeke, Tandika, bonde la msimbaz, Jangwani, Keko, Yombo na jangwani. Yani cha kuhuzunisha napishana nao tu hatawanigus wananikodolea macho. Moyoni nasema si walianzishe tu pleeasee lianzisheni.

Tatizo nilishakula kiapo Shaulin temple nilipokuwa natunikiwa na kukabidhiwa mkanda mweus "black belt" nisiwahi kuwa mgomvi wala kupigana had nichokozwe tuu ama kuvamiwa kwasabab ya mbinu zangu kali za kupiga zilizonichukua a whole painstakingly decade to master and perfect. Ambapo nisipojizuia naweza kutembeza mbano hata Kwa wasiohusika.

Sasa ningekuwa Nape pale yule Jamii ya Bashite (mwanausalama) ananisukumiza. Kwanza ningemuomba cheti baada ya hapo atashikwa Na jazba na kutoa bastola. Yani kitendo cha kutoa bastola nampiga "vertical round kick" halaf Nampa a killer blow ya tumbo lazima alale maamae. Bastola naipiga take pemben.

Maulid Kitenge kwa kiherehere atakuja yeye nita muwasha konzi tu la utosin nakumuambia tulia wewee.

Wanausalama wengine watakuja mbio Yani hapo naruka juu Kima cha twiga nikirudi chini na "helicopter kick wote chini". Kwa maumivu watawasiliana na wenzao we need beck up. Nao wakija namchukua yule wakwanza nilitemuomba cheti mwenye jinsi ilitopauka ya Lee namgeuza fimbo nakuwachapachapa wote had wapoteze faham.

Ntakuwa nimeitendea haki mkanda wangu mweusi.
Ningekuwa ndo mimi Nape, within sec yule aliyetoa bastola namgeuza anakuwa nyau, then nione kidume mwingine anisogelee. Hapo hapo nawaambia wandishi kuwa tuingie ukumbini tuendelee na mkutano huku nampiga jicho yule manager wa hotel kama bado anasisitiza kuwa mkutano haufanyiki hotelini kwake.
 
Nimejifunza kuwa jasiri na kutomwogopa mtu yeyote kwa sifa yoyote aliyonayo ila wewe umenizidi.
Muulize mjeda aliyeiva karate alipokutana na mchoma mahindi wa Tegeta alipigwa mpaka aliumwa wiki 2, na hizo kata zako
kumi ulizocheza Tandika ukikutana na wanaume utasahau mpaka kata ya kwanza inachezwaje.
 
Na baada ya hapo movie ingeitwa "The Box Carrier Kick Master"
 
Back
Top Bottom