Recent content by homo sapiens

  1. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

    Bakhresa Muungwana yule, analea undergrounds Sent using Jamii Forums mobile app
  2. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Papa aliweza kuwapatanisha Salva Kill na Riek Machar. Je, ana nguvu kuliko Jumuiya za Kimataifa?

    Hana nguvu bali ana ushawishi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Unazuia vipi hasira ili usiathiri wale wasio husika?

    Hicho ndo kipimo cha hekima ya mtu. Kudhibiti hasira yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Ni hatari
  5. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere alipigwa mtama Kanisa la St. Peters

    Mwenye heri huyo, hasemwàgi vibaya.
  6. homo sapiens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vitu hivi katika malezi

    Nzuri
  7. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Unatafuta kujua privacy ya mwenzio, wewe Mungu? Acheni utoto! uyajuayo kiasi kumhusu yanatosha.
  8. homo sapiens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

    Mila potofu ni zipi? Kubakwa ni kupi? Mama mtu mzima unabakwaje na mumeo? Tunakoelekea ndoa zitapoteza maana.
  9. homo sapiens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

    Hajarogwa, anaiga wazungu, wazungu ndivo walivo, hata ukimuoa mbunye hupati mpaka apende yeye. Ni utumwa kuoa mwanamke wa sampuli hii. Msingi wa ndoa ni ngono. Ngono ikiwa adimu hakuna haja ya kuendelea kuiita ndoa, bora ivunjike. Ugumu ni kwa wenzangu wanaooa kwa mahari kubwa mpaka unafilisi...
  10. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi wadaiwa kumuua Mwanafunzi kwa kumpiga risasi tumboni wakimtuhumu kuwa ni jambazi

    Haya ndo madhara ya kuwapongezà polisi wanapoua hovyo. Polisi mweledi ni yule anayefanikiwa kumkamata mtuhumiwa akiwa hai. Kwa staili hii ya kuua raia na kumpachika ujambazi, usalama wa RAIA umo shakani.
  11. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

    I wish I curdu be igp
  12. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Umeandika utaanza na watu mia tatu, jiandae kutupata laki tatu mkuu
  13. homo sapiens

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Una moyo wa malaika wewe, endelea kubarikiwa sana . naomba niwemo
Back
Top Bottom